Eti kisa nina maumbile madogo! Nifanye nini mie?

kama una chini ya nchi tano there is no doubt kwamba ni ndogo and there is nothing nothing you can abou it (msilaumu wazazi kwa kuwavisha chupi za kubana mkiwa watoto hasa mama...hakuwa anajua haya mambo).lea watoto wako tu kwani unataka nini zaidi..madem wa kungurumisha fasta wako wengi muhimu kuwa makini tu
 
Pole sana kaka, jamani wanawake wakati mwingine tuna maneno mabaya sana, kweli mume wako mmeoana 2007 5yrs now, muda wooooote huo mnagombana hasemi kinachomuudhi, leo hii tena mmeshazaa ndio anakurupuka na kusema maneno hayo jamani, sijapenda kabisa. Kweli mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Nakushauri muombe aje nyumbani mzungumze kama mume na mke na akueleze kama hiyo kweli ndiyo iliyokuwa inapelekea ninyi kuwa na ugomvi kila siku? Na hiyo kubwa yeye aliiona wapi kama hatoki nje ya ndoa huyo!! Pia muombe Mungu maana ibilisi ana njia mbali mbali za kuvuruga ndoa. all the best
 
Sio kweli hata kidogo kwamba una maumbile madogo.huyo mwanamke anataka kukuumiza roho baada ya ninyi kufarakana kwa sababu anajua fika hakuna tusi kubwa kwa mwanaume kama kumwambia yeye hakutimilizii.huyo anataka tu ujione ovyo.achana na maneno yake ,
 
mnh mbona wakaka wengi waliochangia hii topic wamekimbilia moja kwa moja kuwa huyo dada ana 'kubwa'?? jamani eeeh vibamia vyenu ni ishu tunavivumilia tu...
wewe kaka mtoa mada ndoa ni compromise,anakuvumilia na kibamia chako na wewe unamvumilia magomvi yake ukishindwa katafute mwenye ndogo atakayeridhika na maumbile yako.......who are very few to find,wengi watajifanyisha tu kinafiki kuwa hicho kibamia kinamridhisha na frustrations zake atazitoa elsewhere kwa kuwa na kidumu pembeni....
sio lazima uwe na mke kaka km yamekushinda kuwa tu na company ya kike huku ukiwa focused zaidi na malezi ya wanao....count your blessings wanawake wasikufrustrate....
 
labda mko tu incompartible,tafuta mwanamke mwingine...msome vyema mpaka ujiridhishe kuwa mnaelewana/mnaendana ndio umvute ndani....
 
Jamaniii...mbona mnakimbia swali na dukuduku la mtoa madaa?..je kuna means za kuongeza nyeti fupi??...

Maana yeye keshakubali ki-saikolojia kuwa dongo alopigwa kuwa ana nyeti ndogo ni kweli na solution anaona ni kuiongeza ila hajui kama dawa zipo...

Nakujibu mtoa mada.
Ndio...dawa zipo tena za aina 2

a) kienyeji au za kiafrika
hizi zipo za aina nyingi ila nayoikumbuka na nilowahi kuitumia ni ilee ya kuchanjia dodoki katika kichwa cha uume na hii tuliifanya enzi hizooo tukiwa na 7-9 yrs tukiwa tunasoma shule za msingi..

Angalizo.. Ukishachanjia unahakikisha dodoki lako umelitia alama vizuri na kufuatilia ukuaji wake maana ukijishahau tuu uume unakuwa kama wa punda oversize...pia wapo waganga wa jadi kibao wanaolimudu suala hili kiraisi tuu

b) kigeni au za kutoka nje
hizi zipo toka ulaya na marekani na pia zile za ndugu na jamaa zetu wa uchina..

Sina sana uzoefu nazo ila niliskia radioni jamaa m1 alitumia mashine ikaongezeka uzito mpaka kg 15 akaanza kuomba msaada akapunguzwe size huko india kwa operation na inasemekana ukipasuliwa machine inakuwa haisimami...

do the math take the risks
Sasa ikiwa ameambiwa ni ndogo anataka kuongeza, nahofia baadaye akaja kuambiwa ni kubwa.
Wataalamu wa 6x6 wanaaminia ufundi katika matumizi na wala sio ukubwa wa keekee.
 
Tooooooooooobaaaaaaaaaaaaaaaaad,kweli asingeolewa nawe mpaka mnapata watoto wawili! siwezi amini ni maumbile,otherwise kweli kuna jamaa anayempa malavidavi ya juu kuliko unavyompa
 
Usinunue midawa ya kuongeza utajuta, we jitahidi tu kaka kutafuta mbinu za kumridhisha hivohivo ulivyo, google
 
mnh mbona wakaka wengi waliochangia hii topic wamekimbilia moja kwa moja kuwa huyo dada ana 'kubwa'?? jamani eeeh vibamia vyenu ni ishu tunavivumilia tu...
wewe kaka mtoa mada ndoa ni compromise,anakuvumilia na kibamia chako na wewe unamvumilia magomvi yake ukishindwa katafute mwenye ndogo atakayeridhika na maumbile yako.......who are very few to find,wengi watajifanyisha tu kinafiki kuwa hicho kibamia kinamridhisha na frustrations zake atazitoa elsewhere kwa kuwa na kidumu pembeni....
sio lazima uwe na mke kaka km yamekushinda kuwa tu na company ya kike huku ukiwa focused zaidi na malezi ya wanao....count your blessings wanawake wasikufrustrate....

Wee sasa unatengua Torati!
Maana imeandikwa: "Mwanamke atamwacha babaye na mamaye na kumfuata mumewe, na hawa wote watakuwa si wawili tena bali ni mwili mmoja".
Tena maandiko yanaendelea kunena: "ALICHOKIUNGANISHA MUNGU, BINADAMU ASIKITENGANISHE".
Wee umetumia sharia ipi...?
 
as a manager of an organization, you need to be very skillful in handling matters of an organization. when employees go berserk you dont sack them all. the company will collapse. those you will employ to replace them might be the worst. as a manager in your family, when your wife grow horns you dont have to go for an hark saw and dehorn her right away. you will run into the cost of treating wounds. instead tame her, bring her closer to you, sweet talk her. avoid being arrogant, be nice to her, bring her a present once in a while. atleast some flowers, cards and pants can do better. help her sometimes with kitchen chores, watch the best movies together, avoid coming home late, frequently tell her that you love her so much and that she was best created for you, comment every part of her body and what she wears, learn to say am sorry whenever you upset her, cheer her up always when she is down. remember pillow talks, maximize it, force yourself to do 2 or 3 times by telling her that "today you are sweet and i feel to continue on and on, you look like when i found you 5 yrs ago, keep it". i assure you by doing this your woman will do what you want and follow your direction. love bond will be very strong between you and the woman will see other men outside useless. Brother hawa wanawake ni wajanja sana. torati inasema mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono miwili lakini mimi nasema SIVYO BALI mwanamume mpumbavu ndo huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. kuishi na mwanamke yataka utumie akili. kuachana na mke sio suluhu, utapata mwingine ambaye ndo kichaa kabisa. ishi na huyo wako uliyenae kwa sasa, huyo ndo bora kuliko wengine wote. TAHADHARI- ukimwacha huyo uliye nae utajutia maisha yako yote manake tatizo sio mke ni wewe mwenyewe. BE SMART AND STOP BICKERING ABOUT YOUR WIFE BUT ASSESS YOURSELF AND SEE IF YOU HAVE BEEN DOING WHAT IS REQUIRED OF YOU AS THE HEAD OF THE FAMILY.
 
mwenzangu, hata mie nimestukaa!
sweetlol. hebu badili kwanza hili jina.
pili, mwanaume hajitambulishi kwa jina, wala sura ila kwa majukumu. kaa na mkeo, muongee na muamue ni vitu gani hamvifurahii kwenye maisha yenu, na vipi mjiendeshe. hebu simama kwa zamu yako and be counted banaa! bt beware of whta people say when they ar upset or drunk, coz that is where they show their true colors
kumbe wewe ni he??? Daaah utanisamehe, mi huwa nadhani wewe ni she! Pole sana kwa misuko suko ya ndoa... Endelea kusubiri watakuja wataalam kukupa ushauri zaidi.
 
Nnamiaka 34 nilioa 2007!nnawatoto wawili.mke wangu amekua tatizo tangu sikutumeoana,baada yakuoana nae week 3 tu nilianza kujuta mpaka tukakutafuta talaka.tumekua tukigombana mara nyingi mpaka anarudi kwao tunasuluhishwa tunarudi tena.mwez wa 6 alinitukana sana na maneno machafu mengi nikanyamaza,baadae nnlimuomba aende nyumban akasalimie alivyoondoka nakufika nilimwambia sitaki kumuona tena afundishwe kwanza maana ya mume then atafute mume mwingine aishi nae,.jana sasa aliniomba arudi nyumban nikamwambia nimevumilia vyakutosha mahusiano yetu yameshaisha kitambo hata kama tulifunga ndoa kanisani ila hii imenishinda. nilikua sio mnywa pombe mpaka nikaanza kunywa.baada ya kumtumia message akaniambia.AMEKUA AKINIVUMILIA SANA NA MAUMBILE YANGU MADOGO LKN NIMEMUONA HAFAI.SASA NAJIULIZA SABABU NDO ILIKUA HIYO NDO MAANA ALIKUA ANANIDHARAU?

naombeni ushauri nifanyaje juu ya hili coz mwanamke huyu sinahamu naye tena yaani namuona kama mwanaume mwenzangu sasa.Je haya maumbile yangu yanaweza niletea shida nikipata mwanamke mwingine sababu sijawihi toka nje ya ndoa yangu na wanawake wote wanyumba hawajawahi niambia hili?je nnaweza kuyakuza?
Mlikutana kwenye Internet nini? Au mambo ya club na kumvuta, kumbe yeye kazoea zenye madawa ya kichina?
Kama ni binti alolelewa na wazazi wake kimaadili siamini kama anaweza kukwambia kitu kama hicho. Ila bado unayo nafasi ya kufanya mahojiano naye kabla ya kum-dis moja kwa moja. ILA MI NAKUSHAURI UACHANE NAYE HUYO.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu!yaan sijawahi enjoy maisha ya ndoa,.ila wote mmlionishauri nntayafanyia kazi
 
1. haina haja kabisa ya kuikuza hiyo bolt yako kwani yawezekana yeye ndiye mwenye caldera badala ya kuwa na crator; mwambie yeye akapunguze kwanza ya kwake ndio mrudiane na kama hawezi basi Mungu ndiye aliyeumba na wala haukuchagua wewe mwenyewe!

2. ulitakiwa kuwa na hii information 'a map of a woman' then ungeelewa kuwa 'ukubwa wa pua si wingi wa kamasi'. Angalia attachment.

Kweli JF ni kila kitu.Nimeisoma hii attachment,muanzisha uzi ashindwe mwenyewe tu! Nakugongea thanks
 
Kaka mfa maji....haishi kutapatapa,huyu ni sungura tu...anayevunga kuwa hazitaki mbivu zile kwa kuwa kazikosa!!!
 
Hakuna kitu kibaya kwa mwanaume kama kukoselewa maumbile ya uume wake, hii inatufanya tuathirike kisaikolojia.

Hata kama huyo mwanamke utarudiana naye, bado itakutesa sana pale ukiwa unakutana naye kimwili, utahisi kama anakujoke na kukuenjoy. Hata kama akiwa anaisikilizia pump na kutoa mikelele utahisi anapretend.

Labda kukushauri tu :

Hatua ya kwanza uangalie saikolojia yako na uigange kama inawezekana, jiulize ukiwa naye kitandani utajisikiaje? Utakuwa kama zamani?

Kama bado unaweza kuwa naye, basi inabidi ujue mapozi mbalimbali ambayo yatawasaidia ninyi wawili kulingana na tofauti za maumbile yenu.

Ujue kuwa kumridhisha mwanamke hakuangalii sana ukubwa wa uume, bali uwezo wako wa kumchezea mwili mzima na si hapo kati tu. na wakati wa kujaamiina inaangalia uwezo wako wa kupushi, kuchomoa kuzungusha angle mbalimbali n.k

Ingekuwa vema kama ungesema unaukubwa wa inch/cm ngapi, ingekuwa rahisi kukushauri.
 
Back
Top Bottom