hovyoooooooo!people are extremely negative dah hii kali..... Tulimchagua wenyewe na tusubiri amalize muda wake maana kama ni kuandamana sioni muandamanaji tu. Pia kiasilia kila m-tz ni fisadi tu. :a s clock:
Et wanamwangusha wasaidiz! Afu akishaangushwa anawafanya nini walomwangusha?????[QUOTE
Mwisho unahitaji kwenda Loliondo kupata Kikombe kimoja kutwa mara tatu toka kwa babu.[/QUOTE]
Tujaribu kuwa wastaarabu all the TIME, haya ya kumwambia JAKAYA kwenda Loliondo kwa Babu yanarandanaje na tatizo la UMEME nchini, kumuheshimu binadamu mwenzako costs you next to nothing, calling names Kiongozi wa nchi tunajidhalilisha kamataifa; tujaribu kujirekebisha.
Back to point, Jamani tujaribu kuwa wakweli, hivi tatizo sugu la umeme nchini lilihibuka wakati wa TERM ya Jakaya KWELI? Jibu ni hapana. Kikwete si msemaji sana au mtu mwenye majigambo na kupenda sifa, ukiona anaweka adhalani mambo aliyo zungumza na Baraza lake la mawaziri kuhusu kero za UMEME nchini basi mtu mwenye akili anajuwa kwamba na yeye kama Raisi linamkela sana, kusema kweli baadhi ya viongozi wake wanamuangusha SANA.
Ninacho taka kusisitiza hapa ni kwamba tujaribu kupunguza mambo ya kumkejeri, kumdhalilisha wakati mwigine kutumia lugha hisiyo na staha hata kidogo, tunachopashwa kufanya ni kumsaidia kwa kumpa ushauri; kama nakumbuka vizuri aliwahi kusema raia yeyote anaweza kumpa ushauri kima andishi ikiwezekana, sasa mnataka hawe muwazi kiasi gani!
Mimi tamko lake la leo kuhusu adha ya umeme nchini limenikuna sana na nilikuwa na mawazo kama hayo hayo, rai aliyo toa kwamba: na hapa namnukuu Nililisema hili pale katika kikao cha Baraza la Mawaziri, shughuli hizi zote za uzalishaji wa umeme wa dharura zianzie na kuishia palepale Tanesco. Bodi ya Tanesco isimamie mchakato mzima bila kuingiliwa na wizara, naomba tusirudi tena kule, nadhani aliongezea kwamba mambo ya Richmond yasije kujirudia. Mimi huwa namsikiliza kwa makini anapozungumza, watu wanasahau kwamba Jakaya huyu huyu aliwahi kumtahadhalisha Waziri Msabaha hawe makini/mwangalifu na wawekezaji wa Richmond sijuhi kama ushauri wake uliwekewa maanani au la, kama watu wangekuwa makini kumsikiliza wakati analisema hilo nadhani hakuna ambaye angekuwa anajaribu kumtumbukiza katika sakata ambalo hakuhusika nalo.
Najuwa watu watanisema sana kuhusu hili, lakini niko tayari kuwajibu na nilisha wahi kusema humu kwamba Kikwete is MEGA-SMART upstairs; sijuhi kama watu walinielewa, labda hili tamko lake kuhusu Wizara ya Nishati/madini na TANESCO kotoingiliana kimajukumu liwe A WAKEUP CALL kwamba binadamu huyu ana a TERA-WATT za analytical mind, remember bila yeye Kenya sasa hivi ingekuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe, je Watanzania tuna haki gani ya kumbeza beza mtu kama huyu! Tell me. Mwisho Jakaya huyu huyu aliwahi kushauri kwamba IPTL wa-modify prime mover zao zitumie Natural GAS ambayo inapatikana kirahisi nchini, tangu atoe pendekezo hilo nadhani miaka mitatu imepita, kwani kuna aliye msikiliza! Hakuna; watu wako busy kuagiza matani na matani ya mafuta ya mabillioni kwa ajili ya mitambo ya IPTL ambayo inakula mafuta kama mchwa, sasa tujiulize yeye alijuwaje kwamba tutapunguza gharama kwa kutumia GAS badala ya Heavy OIL wakati si Mechanical wala Electrical Engineer - jibu unalo MEGA-SMART...
Kwani lazma uchangie? Issue iko hivi we majimshindo, jk anamtaka ngeleja awe makini, hii maana yake kwa sasa ngeleja siyo makini! But mamlaka ya ngeleja ni jk,ndo kusema kama mchaguliwa si makini bac pia mchaguaji naye si makini! Otherside,kama yy jk anadhani makini bac amtafute mtu makini amuweke pale nishati sio ngeleja ambaye ameshamuona kuwa si makini!
Mtu anauchapa tena mbele yake ataweza kumwajibisha kweli?
Mipangomingi,
Sio vizuri kupotosha au kupindisha maneno ili upate lile unalolitaka. JK amemuonya Ngeleja kuwa makini ili yasijetokea kama yale ya Richmond, sasa hapa hoja yako hapo juu inaingiaje? Hivi ni uwezo wa kujua mambo ndio unaoukosa au unafanya haya kwa makusudi? Kama unafanya haya kwa makusudi unataka kutupeleka wapi na ujinga huo?

Tanzania haijaanza kukaa kiza kipindi cha JK, nakumbuka alipoingia madarakani alirithi kiza kikubwa kutoka kwa??? Utajaza mwenyewe. At least JMK anafanya jitihada za kweli za kukiondoa kiza. Wa kabla yake, wooooote, walifanya nini?
Mtu anauchapa tena mbele yake ataweza kumwajibisha kweli?
[QUOTE
Mwisho unahitaji kwenda Loliondo kupata Kikombe kimoja kutwa mara tatu toka kwa babu.[/QUOTE]
Tujaribu kuwa wastaarabu all the TIME, haya ya kumwambia JAKAYA kwenda Loliondo kwa Babu yanarandanaje na tatizo la UMEME nchini, kumuheshimu binadamu mwenzako costs you next to nothing, calling names Kiongozi wa nchi tunajidhalilisha kamataifa; tujaribu kujirekebisha.
Back to point, Jamani tujaribu kuwa wakweli, hivi tatizo sugu la umeme nchini lilihibuka wakati wa TERM ya Jakaya KWELI? Jibu ni hapana. Kikwete si msemaji sana au mtu mwenye majigambo na kupenda sifa, ukiona anaweka adhalani mambo aliyo zungumza na Baraza lake la mawaziri kuhusu kero za UMEME nchini basi mtu mwenye akili anajuwa kwamba na yeye kama Raisi linamkela sana, kusema kweli baadhi ya viongozi wake wanamuangusha SANA.
Ninacho taka kusisitiza hapa ni kwamba tujaribu kupunguza mambo ya kumkejeri, kumdhalilisha wakati mwigine kutumia lugha hisiyo na staha hata kidogo, tunachopashwa kufanya ni kumsaidia kwa kumpa ushauri; kama nakumbuka vizuri aliwahi kusema raia yeyote anaweza kumpa ushauri kima andishi ikiwezekana, sasa mnataka hawe muwazi kiasi gani!
Mimi tamko lake la leo kuhusu adha ya umeme nchini limenikuna sana na nilikuwa na mawazo kama hayo hayo, rai aliyo toa kwamba: na hapa namnukuu "Nililisema hili pale katika kikao cha Baraza la Mawaziri, shughuli hizi zote za uzalishaji wa umeme wa dharura zianzie na kuishia palepale Tanesco. Bodi ya Tanesco isimamie mchakato mzima bila kuingiliwa na wizara, naomba tusirudi tena kule," nadhani aliongezea kwamba mambo ya Richmond yasije kujirudia. Mimi huwa namsikiliza kwa makini anapozungumza, watu wanasahau kwamba Jakaya huyu huyu aliwahi kumtahadhalisha Waziri Msabaha hawe makini/mwangalifu na wawekezaji wa Richmond sijuhi kama ushauri wake uliwekewa maanani au la, kama watu wangekuwa makini kumsikiliza wakati analisema hilo nadhani hakuna ambaye angekuwa anajaribu kumtumbukiza katika sakata ambalo hakuhusika nalo.
Najuwa watu watanisema sana kuhusu hili, lakini niko tayari kuwajibu na nilisha wahi kusema humu kwamba Kikwete is MEGA-SMART upstairs; sijuhi kama watu walinielewa, labda hili tamko lake kuhusu Wizara ya Nishati/madini na TANESCO kotoingiliana kimajukumu liwe A WAKEUP CALL kwamba binadamu huyu ana a TERA-WATT za analytical mind, remember bila yeye Kenya sasa hivi ingekuwa kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe, je Watanzania tuna haki gani ya kumbeza beza mtu kama huyu! Tell me. Mwisho Jakaya huyu huyu aliwahi kushauri kwamba IPTL wa-modify prime mover zao zitumie Natural GAS ambayo inapatikana kirahisi nchini, tangu atoe pendekezo hilo nadhani miaka mitatu imepita, kwani kuna aliye msikiliza! Hakuna; watu wako busy kuagiza matani na matani ya mafuta ya mabillioni kwa ajili ya mitambo ya IPTL ambayo inakula mafuta kama mchwa, sasa tujiulize yeye alijuwaje kwamba tutapunguza gharama kwa kutumia GAS badala ya Heavy OIL wakati si Mechanical wala Electrical Engineer - jibu unalo MEGA-SMART...
Ndivyo alivyodanganywa na wasaidizi wake, kwamba aanze kuongeaonga tu maana naina ni kama ametoka usingizini hivi, mambo anayoyasema leo alitakiwa kuyasema siku nyingi sana, infact kama agekwa kiongozi makini yasingetokea kabisa, maana watendaji wake wasinguthubutu kufanya upuuzi huku wakiujua msimamo wa boss wao. mimi nilidhani angemfukuza kazi. mnakumbuka wakati wa kampeni JK aliwapigia kampeni laivu Mramba, Chenge na Rostam huku akisema RA ameenea kama mtandao wa vodacom, mimi sina imani naye.