Eti kadata na sauti yangu tu

tatizo lako wewe ulimjaribu huyo binti ukiamini mwanza ni mbali
na hawezi kuwa na uzalendo wa kukufuata. sasa unalo unatafuta pa kutokea.
hilo ni funzo kwako kwamba mabinti wengine hawajaribiki, hapo lazima umpe
binti ile kitu roho inapenda. lol
 
Zari ilo mpige nao si kataka mwenyewe then sox zipo kibao sikuizi acha usharo dogo,ingekuwa mimi kitamboo...nishamaliza show
 
ni kwamba baada ya kuckia saut yangu ndo ameshawishka zaidi kunihitaji.

kuna watu unaweza kujua sehemu ya tabia zao katika maongezi. inaweezekana baada ya kukusikia akazidi kukuelewa na kuvutika.
 
sasa,mbaya zaidi,binti anataka kufunga safari toka mwanza aje dar kunifuata!

vipi c umemuona kwenye picha lakini? at least unapata frame ya figure yake,hiyo huwa inatokea mkuu,kama nawe umeridhia mwambie aje tu
 
hahahahaha!!! Dah! Umenikumbusha mbali mkuu....lol... Ofcourse sauti zadatisha... kama vile waweza vutiwa na mtangazaji redioni but humfahamu... to the extent ukimuona unasema Khaa! Gavanar mwenyewe ndo huyu??? Unakua dissapointed mpaka watamani kulia.....lol
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day mpz
 
Kama wamekutana face book kuna haja kweli ya kutumiana picha wakati ni mtandao wa kuuza sura. Lbda wangekuwa wamekutana JF.


Unaweza ukajaribu ku manage expectations kwa kumshawishi mtumiane angalau picha (kama bado hamjafanya hivyo). Ni mara chache sana binaadamu tunajaaliwa 'vitu vyote'.....unaweza ukapewa sauti 'nzuri' lakini ukanyimwa umbo, sura nk. So kama mtu amekusikia tu lakini hajawahi kukuona anaweza kuwa disappointed akikuona.....hasa kama 'amefunga safari' (amepania) kwa ajili ya kukuona.
 
Afu jamani embu nielewesheni maana naona ninaanza kupitwa na wakati.

Ukiwa facebook unaweza kuchat na mtu yeyote hata usomjua?; is it that much open?

Yaani watu wanaanzaje anzaje kuconnect na strangers na kuanza kuchat.

Wanagoogle tu kwa jina kama bahati nasibu au inakuwaje?

Na kwa nini uwe desperate kutafuta connection ya strangers wakati you can connect with friends that you already know.

I want to research on that, na ntaanzia kwa watoto wa ndugu zangu ambao nawaona wako fb.

Kwa mtindo huu wenye watoto wa kike kuweni makini wasije kuharibiwa na hii social network.
 
...lol,...usijali.

sasa nawe unatumia jitihada gani kumuonyesha humuhitaji maishani mwako?

Yaani hizi product za facebook kwakweli ni hasara tupu! The way amejibu swali lako inaonesha wazi kabisa nayeye ameshamtamani huyo binti na ameshakubali kubanjuana nae!! I wish yale maghost ya kunyofoa ndude za watu wenye tamaa ka hizo yangefika labda wangerekebisha misimamo yao!!
 
Back
Top Bottom