Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,533
Wanabodi ngoja niwapatie mchapo wa mapenzi uliomtokea swaiba wangu wa karibu. Jamaa aliopoa jimama na wakadumu katika uhusiano takribani miezi miwili(2). Cha ajabu kila wakati wakidu lile jambo jimama linataka mkao fulani tu ila swaiba haelewi. Baada ya kuona jamaa haelewi kabisa siku moja wakati wa ku-do akamwambia, "JIRANI NAYE ATAKA"!! Toka hapo swaiba kaenda kumjengea bifu jirani yake lakini cha ajabu siku nyingine wakati wa ku-do akamwambia tena! Swaiba ndo akauliza nini maana yake? Ndo jipu likapasuliwa pwaa! kuwa na nyuma pia hamu........ Swaiba kadata amekolea! Tabia hiyo imemuudhi ila anashindwa kumtosa amekolea.