Eti jamani wana jf iit possible mtu kupata mchumba through mtandao uwe simu ama net

inawezekana,kwani watu hukutana kwa njia tofauti.mapenzi ni sehemu yoyote ile
 
Embu waliokuwa wanatafuta wachumba humu wawe wa kwanza kumjibu kama inawezekana
 
uyu keshapata,sasa ndo ivo haamin kama anapendwa au laa! Ila nadhan ukweli anaujua
 
Kuna mtu mmoja namfahamu alishapata mchumba kupitia internet yeye ni mtz na mwanamke mzungu, siku ya harusi walikutania airport na msafara kuelekea kanisani, ila unatakiwa kuwa mwangalifu manake kuna matapeli.
 
Inawezekana,go fo it,uwe tu mwangalifu kama alivyosema Lizzy! kwenye net kuna binadamu tu unaowaona kila siku!
 
inawezekana sana....na pia inakuwa serious kwa sababu kila mtu anajua anatafuta nini....be careful though
 
Kama alivyosema Maria Roza inawezekana au isiwezekane cha msingi ni kuwa makini tu.
 
Internet dating and marriage is not just real but realistic. Like sensible people have said, it depend on the people. It depend on them revealing their real identity and of course, if it must lead to marriage, they must meet. It is all about communication. Right communication for that matter. It is all about attitude.

I need to remind you all that every evils associated with internet datings also applies to your offline datings. Therefore, anything is possible.

My advice to wannabe internet spouse is TO LOVE WITH YOUR HEAD FIRST AND NOT YOUR HEART. That way, you can be in total control.

Wale ambao ni single kama mimi ,huwa tunaangalia all possible options...ndiyo maana tunaishi ktk Digital era!
 
Naomba mnijuze juu ya hili kabla sijpotea ndugu yenu

Ni kawaida kabisa ila kwa wadada wa TZ wanavyojua kujieleza uongo kuna uwezekano siku mtakutana live jamaa akakukataa kwani ulivyosema uko na anavyokuona ni vitu viwili tofauti. wote mnatakiwa muwe wakweli
 
Back
Top Bottom