Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Hizi hypothetical stories zimekuwa too much sasa..
Halafu kama member mmoja alivyochangia zimekuwa zinawa-direct wanawake tu..embu leteni issues concrete bwana.
 
Ahsante kwa kunisamehe.

Hapo Bold sijawaonea kwa kuwa kila siku nyie huwa mnatubishia kuwa hamtoki nje ya ndoa zenu, wakati wanaume wamekuwa wakikiri kuwa huwa wanatoka....ndo maana nimewaulizeni mama zangu, katika situation kama hiyo bado hamtatoka?

Tutatoka hata kama si kwa situation kama hiyo peke yake zipo nyingi mf. Maudhi, kunyimwa ile kitu inamesa mwenzake, jamaa kutokuwepo home hadi midnight nk

BTW: Sababu zipo nyingi za kukufanya utoke nje ukawa na mpango wa kando wa kiume
Kwahiyo Dena huyo mshikaji akikunyima hiyo inayomezwa na mwenzake utakuja kwangu?????
Jamaa asipokuwepo home hadi midnight still utakuja kwangu maana mimi saa 12 jioni niko home?????

WILL BE RIGHT BACK FOR ANSWERS.
 
hahaha!usiende ofu topic hapa tunaangalia uwezekano wa kutomwita zraili kwa kujitakia,dena amesema atatoka coz uvumilivu utamshinda!odm labda cjakuelewa,jamaa anapoumwa kiuno na baolojia yake nayo inakuwa haifankshen?

Siyo lazima bana....Ila kwa kesi hii jamaa aliparalaizi na baioloji ikabuma!

We usingetoka kutii kiu yako?
 
wewe kiumbe uliona wap mwanamke aka2lia na kulidhika cha mcng mm ninaona bwana Y alikuwa yupo sawa kwan alikuwa anaudumia mali yake kama ndugu wanageukana ishndwe kuwa marafik
 
Hizi hypothetical stories zimekuwa too much sasa..
Halafu kama member mmoja alivyochangia zimekuwa zinawa-direct wanawake tu..embu leteni issues concrete bwana.

Unaweza pia ukaleta ishu concrete kama unazo....kuanzisha thread hakuna malipo!
 
Hizi hypothetical stories zimekuwa too much sasa..
Halafu kama member mmoja alivyochangia zimekuwa zinawa-direct wanawake tu..embu leteni issues concrete bwana.
Kama unaona hii ishu sio concrete lete wewe basi hiyo ishu unayoona ni concrete, btw what is concrete and what is not concrete on this issue??????
 
Kama unaona hii ishu sio concrete lete wewe basi hiyo ishu unayoona ni concrete, btw what is concrete and what is not concrete on this issue??????

Aisee dogo........unanidai bia ngapi vile?

Potezea hiyo c.....p!
 
Bwana weee saa nyingine tuwe wakweli and fair "TUNATOKA" asikwambie mtu ila kwa siri sana.

Kwa situation hiyo NITATOKA ha ha ha ha usininukuu tafadhali yaishie hapa hapa usijekwenda mwambia mwenyewe atanitoa macho.

Nimemiss albatar!!!

Mhe. Dena Amsi hakika utaishi maisha marefu yasiyokuwa na stress za mawazo, unanidai vocha ya Tshs 5,000/=
Ni PM namba unayotumia nikuvurumishie mivocha. Sitaki mzaha saa hizi
 
Mhe. Dena Amsi hakika utaishi maisha marefu yasiyokuwa na stress za mawazo, unanidai vocha ya Tshs 5,000/=
Ni PM namba unayotumia nikuvurumishie mivocha. Sitaki mzaha saa hizi

Hahahahaha babu n'dogo naona uko kikazi zaidi!
 
Aisee dogo........unanidai bia ngapi vile?

Potezea hiyo c.....p!
Babu watu wengine banaa sijui vipi eti CONCRETE ISSUES kwani hawa waliochangia wao hawakuona kama hii no CONCRETE ISSUES kama wasingeona CONCRETE wasingechangia, CONCRETE, CONCRETE, CONCRETE my foot..........

Babu nakudai chupa nzima ya Black Label ambayo sealed tena
 
Sina swali la nyongeza mheshimiwa Dena Amsi.

Unanidai albatar la kike na tusker kadhaa za baridi!

Mie nakwambia hapa watu wanazuga tu si kweli kuwa wanawake hawatoki bana wanakuwa kama wale watu wanaotumia mtandao wa thumuni wakali hao ikija mada kama hiyo jaribisha uone uzoefu alionao ha ha ha ha niliwahi kucheka siku moja rafiki yangu kachukua msichana (mpango wa kando) tena msitaarabu ana kazi nzuri na gari nzuri na nyumba nzuri na kila kitu na katika maongezi tukiwa tunapata waluu ikianzishwa mada hiyo mkali kweli he jamaa kajichukulia kufika huko jamaa kapita mlango wa uwani ushirikiano aliopewa ni kuliko ule mlango wa sebuleni ha ha ha tuache kupretend hapa bana ha ha ha .

Kama nawakwaza na kuwaudhi wakina Michelle samahani sana
 
3.Je mwaweza kuvumilia muda gani wakati mnajua kabisa huyu unayelala naye kitanda kimoja baioloji yake ishakuwa si rizki? Mwaweza kuvumilia mpaka ziraili mtoa roho afanye kazi yake? (Hapa mnaweza kuniambia kwa PM manake najua wengine mwaogopa kusema hadharani)

Uvumulivu hakuna hapa. Ikiwa unauhakika najuhudi zote zimefanyika kuwa biolojia ya jamaa imelala, basi ruhsa kuoachana naye na kuolewa na mume mwingine. Hakuna ahadi ya mpaka kifu kututenganisha--- is not practical sometimes.
 
Mhe. Dena Amsi hakika utaishi maisha marefu yasiyokuwa na stress za mawazo, unanidai vocha ya Tshs 5,000/=
Ni PM namba unayotumia nikuvurumishie mivocha. Sitaki mzaha saa hizi

CPU bana haya ngoja niku PM namba yangu naona umefuta ile PM niliyokutumia siku ile
 
Back
Top Bottom