Eti inawezekana?...UVUMILIVU MPAKA LINI?

Mi nawashangaa wanaume kutwa kutafuta dawa za kuongeza nguvu, halafu bado wanataka kuwa na wanawake wengi, kweli dunia ina maajabu yake.
Nimekua nimeyaona.
Wenzenu, kina dada kama umechoka huna nguvu, apetite yote inakimbia, haijalishi nani yuko mbele yako. Kwa hio kazi zinapokuwanyingi, hatuwezi kutembea nje.
Pia kiapo kina maana kubwa sana kwetu, kwani mara nyingi huwa maisha yetu yanabadilika sana tunapoingia kwenye ndoa. Msingi wa mabadiliko hayo ni hicho kiapo. LAkini kwa wanaume wasiobadili sana mfumo wa maisha baada ya ndoa, ni rahisi kutotilia maanani kile kiapo.

kuna rafiki yangu hapa hapa bongo, aliambiwa licha ya mkataba wa kile kiapo cha kwawaida, anataka aongezee na wake, kuhusu majukumu ya mke nyumbani, hajui kabisa umuhimu au uzito wa kiapo cha ndoa, wapo wengi tu.
 
Maskini ila yote maisha tu kila saa naisoma hii story nasikitika sana
 
Pole sana dada yangu! Maisha ndivyo yalivyo!

Maskini ila yote maisha tu kila saa naisoma hii story nasikitika sana
Usisome tu dada/kaka....tafakari na Chukua hatua!
 
Back
Top Bottom