The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
For the sake of the family:biggrin1::biggrin1:duh kuku na mayai yake?
For the sake of the family:biggrin1::biggrin1:duh kuku na mayai yake?
Nimependa mtazamo wako dear na nakubali uloeleza kuna ukweli ndani yake.... Mini nimeona mara nyingi kuna mashindano saana katika mapenzi - wadada tunataka kuonesha sisi ndo sisi na hatuwezi jishusha saana kwa guys na after all baba zetu walitesa sana mama zetu; Guys at the same time wanajiona wao ndo wao na kulalama wanawake wa siku hizi walivyobadilika.
My take; Kwa mwanaume ambae alikua hampendi huyo dada, alifanya jitihada saana... lakini dada alidengua na alijua fika kua yule kaka anamzimia. Baada ya kulainika kaka kagundua kua dada kalainika badala ya kufurahi na kuwajibika anaanza kuleta pozi (huyo kaka inawezekana hamuamini mdada kua ana mapenzi ya kweli, maana unaelewa familia zetu hizi za kiswahili maisha yenyewe tunapigana tu hivyo mtu akienda ng'ambo tayari anakua considered matawi....)
je kwa nini sasa anatamani kumuona hata kusikia sauti yake..Hayo maneno yako hapo juu nimeyapenda... ila kuhusu mdada my dear FL1 naamini kapenda.
Jibu lake ni...
Penzi ni kitu na cha ajabu kinaweza kuchanua popote na wakati wowote........
ila sasa kwa huyu mdada ndo nakosa kujua kama ni true love or hisia za penzi
zinamsukuma kummiss kaka wa watu
Miaka 3 nilikuwa natafuta nilipo pata kiu ikaisha
uzuri ni kwamba nyinyi wakina dada mnajuana vizuri,
hoja yako yaweza kuwa na ukweli!!!!!!!!!!!!
Mostly its men who fall in love at first site! we ladies tumeumbwa kwa ukamilifu mno,mwanamke lazima uchunguze,uringe,udeke etc,For me I would say big up for that lady coz anajua thamani yake yy ni mwanamke ambae sio cheap,yani kutongozwa siku moja tu ukubali kwani yy changu?hata changu pia lazima myumbishane japo dakika tano.
Hapo mi naona mapenzi yapo tena sana tu,binti kakaaaa kafikiri akaona kwa ukaribu sifa na vigezo alivyokuwa anavitaka kwa huyo mwanaume,akagundua kumbe na yy anampenda huyo kaka,hopefull mkaka akirudi watadumisha mapenzi yao na one day watakuwa Mr & Mrs.............
Nilikua nataka niache kuchangia lakini wacha niseme,hapo hakuna mpya hiyo ni tabia ya kike,mara nyingi anaechukiwa ndo anaependwa
Umeeleza kwa ufasaha utafikiri mhusika ni wewe...
Kila mtu anapitia njia yake kupata mtu wa kumpenda..Inawezekana ndo hivyo..Nina wasiwasi, kwa sababu hakumpenda in the first place, na alimchukia..
Dah!!!!
Hahaha!!! Fidel bana kama vile unavyokuwa na kiu na maji ukimalizakunywa unatupa chupa kwenye dustbin
ktk kila tulifanyalo katika maisha yetu lazima tuwe na maamuzi sahihi,sasa watu walitaka akurupuke tu jamani?lazima umsome mtu kwamba sasa hayo mavazi yake ntambadilishaje frm madilu system tu falii pupa,au huo mwendo wake atatoka vipi frm joti to masanja etc kuna vitu lazima uchanganue jamani pia u never no mabye mdada alikuwa anaongea na Mungu wake amuonyeshe njia yote yanawezekana.
wewe Fidel wewe! :mimba: