Eti hili ni la kweli kuhusu bank ya CRDB?

NasDaz,

Umetoa mfano mzuri, wewe ulipata shida kidogo na hiyo kazi kwakuwa halikuwa eneo lako la kujidai, hata hivyo sio peke yako hata ukiwa na CPA kazi ya Bank Teller ngumu sana! ndio maana Bank zinaajiri hizo position kila kukicha kwakuwa fresh graduates wanaitumia kama stepping stone baadae wanakimbilia kwenye position nyingine.

Ni kweli elimu ya chuo ni zaidi ya kwenda tu kwenye eneo lako lakini ingekuwa vizuri zaidi kama kila mtu angepata kazi kwenye eneo lake ambapo anakuwa amejifunza vitu vingi.
 
Jambo moja lipo wazi kuhusu kazi za benki, especially at branch level----no specific graduate program is suitable for banking operations. Watu wanazani kwa mtu aliyesoma accounting then ana-fit zaidi; hamna kitu kama hicho. Na kwa mtu aliyesoma accounts akaenda kufanya kazi benki at branch level, then profession yake inafia hapo hapo. As stated earlier, mie nilisoma Agroeconomics with no good accounting background coz' niliachana na masuala ya makabati nikiwa kidato cha pili. Hata hivyo, nikiwa pale benki, nilifanya sana kazi za Branch Operations Manager/Branch Accountant coz' yule niliyemkuta alikuwa ni wale form four leavers (ex-NBCs) na bank ilivyokuwa computerised alikuwa ameachwa nyuma na teknolojia. Na pamoja na kutokuwa na accounting background, bado kazi niilifanya bila matatizo yoyote kiasi nashawishika kuamini kwamba accounting inayofanyika benki ni tofauti na ile inayoeleweka!!!!! Hata Engineer anaweza kufanya as a Branch Accountant...count on me. Therefore, hata kwa wale waliosomea accounts ambao wanatamani na kuwa competetent kwenye profession zao then wasirogwe kwenda bank....uhasibu wao utabaki kwenye vyeti na after three years of banking experience u'll no longer the same accountant u used to be.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom