Eti hii kitu dukani ni kama shilling ngapi??

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Naongelea ipod touch 8g..
Vilevile BLack berry curve ni sh. Ngapi? Thanks kwa watakaonisaidia.
Nimeulizia hivyo maana kuna mtu yuko South ana mpango wa kuniletea.. Kanambia iyo curve ni 1.9 laki, je hiyo bei inautofauti na hapa bongo
 
Unaposema blackberr curve ni sawa unasema bei ya toyota sh ngapi au unasema nauli ya kwenda mikoani sh ngapi bila kutaja eneo.

Blackberry curve ni series za simu zipo nyingi za zamani ni chini ya hio bei na mpya ni zaidi ya hiyo bei muulize ni blackberry curve ipi
 
kaka asante kwa kunifumbua macho..kanambia bb curve 8250
vilevile kasema iyo ipod ni laki nne kwa kule
 
Kama ni mpya kabisa then hiyo 8520 itakuwa cheaper kwa kuwa voda zao wanauza 399000 ila kama ni used mtaani zipo very cheap. Kwa ushauri pia tafuta curve 9300 instead, 8520 is as boring as nokia c2 labda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom