EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
hemed + lulu= linalokukera ndio jaza hapa !
Umemaliza!need I say more?wanajua kumsema STAR vibaya ndo wataonekana wajanja!!!dawa ya bishoo ni kuwa bishoo zaidi yake!and dat z wat P.H.D does!muonekano wa kitozi,roho ya kigangster!acheni kumsingizia mauongo...kama kuhashukwa Hemedi kaanza aliporudu Tusker ila hakuwa na mambo ya ajabu ajabu kwa tunaomjua,mibaba mizima mimbea!
ni kawaida mtu akiwa handsome na anajipenda wanamuita gay,ila wimbo wake mpya unabore.......
Hivi huyu mtu anajielewa? Huwezi ukawa msanii mwenye akili upanie kum-kiss Angelina Jolie ukipata hela, mara ukivaa kiatu mara moja hurudii, una madem 65.
Huyu dogo anahitaji ushauri
Jaman sio handsome kivilee ila ana sauti nzurii hamfikii uhandsome Mo raka
Jaman sio handsome kivilee ila ana sauti nzurii hamfikii uhandsome Mo raka
kuna watu mageneous, hapo inatafutwa umbea wa mtu mwengine.tabu sana nyie watu...
Hakuzidi hata weweee u hb
ahsante mrembo na umepatia hasaa.haya mi ndo kakake moracka una lipi juu yake, mana najua unalo jambo...
Ana PhD ya nini vile?
Hivi huyu mtu anajielewa? Huwezi ukawa msanii mwenye akili upanie kum-kiss Angelina Jolie ukipata hela, mara ukivaa kiatu mara moja hurudii, una madem 65.
Huyu dogo anahitaji ushauri
Yuko wapi siku hizi huyu wakuu? maana ata mimi nina miaka sijamsikia pamoja na kujitutumua kwake.