Eti hatujui... kipimo gani kinatumika?

nihurumieni mbavu zangu jamani, mnaweza kuwa mnacommit mANSLAUGHTER KTK MAZINGIRA YA FURAHA BILA KUJIJUA WAKUU. Niacheni nikalale duuuuu!

Mbona unakimbia au umeguswa?

Nasikia kuna watu siku hizi wameamua kuishi kwenye luninga kwa kufanya usanii 24/7! Kwani na wewe ni mmoja wao?
 
Kwani na ww unategwa?hapo naelezea ukweli, kwa mfano eti kuna rafiki yangu kaachana na bf wake, kisa anaona shida anapoongea kiswahili wakati wa majambo, nikamshangaa sana, mie napenda full kiswahili,wasichana tunatofautiana
mhhh! hii hatari, anataka kitaliano...mh
 
The Boss

nafikiri at the end of the day inategemea huyo mwanamke unayem-date au kuishi naye

kwa wanawake wenye uwezo wa pesa au mko nje ya nchi, ukinijia na kuku au mchele nakutimulia mbalini. aggggrrrrr .............

mwanamke anaeweza kujikimu kimaisha hahitaji zawadi za aina hiyo, anahitaji zawadi 'sentimental things' zaidi. A diamond ring, a mini cooper or chocolates and perfumes will do, thank you very much :]

gee....
kwanza huwa napata tabu mno kuku define kama mwanamke wa kitanzania....
most of the time naku group 'a bit western '...
so obviously mimi na kuku wangu hatutapita mitaa ya kwenu lol

btw.....kuna mwanamke asiependa diamonds rings????/ si ndo wanaita 'a girl 's best friend????
 
DC

Bibi wa Tandika nae keshaona kwenye TV na wengne weshahadithiana basi balaa tupu. Ila in reality naamini huyu wa Tandika alokuwa hana uwezo atathamini zaidi zawadi za kumkwamua kimaisha au kusogeza siku moja mbele. Kumpelekea huyu maua nadhani inakaribia uhayawani, kwa mtoaji....(just sayin')

Nadhani pia hiyo makala ya Freddy Macha iliangalia zaidi wanawake wenye kipato na sio wa huko Tandale labda (hawa ndo sauti zao husikika zaidi).
Mwanamke mwenye kipato wa hapo Sea View pia demands zake zinakuwa tofauti kwenye mapenzi, na inabidi mwanamme kuonyesha mapenzi kivyengine.....na wanawake hawa hasa ndo waliokuwa hawaridhiki na mahaba ya Mtanzania nadhani
 
Yaani wewe Boss unakosea, yaani mimi ni full Mswazi, through and through .....:]

Hakuna mwanamke asiyependa diamond rings lakini in reality ukimpatia mtu wa Tandale aso uwezo ataenda kuiuza ajinyanyue kimaisha (thats the logical thing to do at least) kwa hiyo ile hadhi ya 'diamond ring' inapotea. lol

Yule mwengine ukimpatia hiyo atakaa nayo pengine hadi aje amrithishe mjukuu wake, na kila akiivaa anakukumbuka The Boss. :]]
 
Ni kweli kabisa Gai,

Hivi, ina maana kwamba ukishakuwa na pesa unaacha kuwa Mtanzania na Mwafrika???

Kwani hakuna zawadi ambazo wababa wa kizamani kama mie na Boss tunaweza kuwapa wamama wa namna hii wakaridhika??

Nikienda safari mikoani nikarudi na magunia ya mkaa, viazi, mchele na matenga ya nyanya, ngongwe (nyanya chungu) na vitunguu hawataona kama nimeleta zawadi??
 
Hivi ni fair kuvaa diamond wakati kuna watu kibao wanashinda njaa au kuna ndugu zako kibao wanakosa pesa ya kunua kauzu???

Kwani katika mambo ya kuwa na mahaba, siwezi kumlipia karo shem ikamsuuza roho mwandani wangu??
 
ha haaa mkuu
wadada wa sasa we acha tu...
unarudi unakuta katoroshwa,yuko twanga pepeta na sharobaro

we uko na magunia yako ya mkaa lol
 
Ni kweli kabisa Gai,

Hivi, ina maana kwamba ukishakuwa na pesa unaacha kuwa Mtanzania na Mwafrika???

Kwani hakuna zawadi ambazo wababa wa kizamani kama mie na Boss tunaweza kuwapa wamama wa namna hii wakaridhika??

Nikienda safari mikoani nikarudi na magunia ya mkaa, viazi, mchele na matenga ya nyanya, ngongwe (nyanya chungu) na vitunguu hawataona kama nimeleta zawadi??

Ukishakuwa na pesa huachi kuwa Mtanzania lakini demands zako zinabadilika. Vitu vya kusogeza siku mbele kwenye maisha haviwi na thamani sawa na kwa yule aso pesa. Zawadi ni zawadi lakini zawadi ya gunia la makaa au vitunguu haitaniridisha sana (coz unaona haijawa customized, its a thing you can send to anybody :[ ....)

Lakini unaweza kwenda mkoani ukaniletea mfano mananasi ukijua hasa kuwa Gaijin anapenda mananasi, nitaridhika sana tu.

Ukiwa na pesa unataka things tailored just for you.....nguo, vyakula, na hata zawadi and emotions. lol
 
Hi Guys!,Kwa upande wangu Guys, though Mi si mtaalam hasa wa hizo issues, nilishawahi kusikia kwamba Wanaume wenye asili ya Kilatino ndio wako romantic kinoma Duniani, watu wenye asili ya Kilatino wanasifiwa sana kwenye malavidavi, ila Mi kwa Bongo nawaapriciate zaidi wanaume wa A-Town, naona wako poa vya kutosha na wanarespect women but ukimkutata jeuri utajuta, some people wanawasifu pia wanaume wa Tanga, but apart ya hiyo issue ya kuwa romantic na other personal behaviour, Bongo,wanaume wa kinyakyusa, kimachame na Kisukuma ndio wanaowacare zaidi, kuwapenda na kuwarespect wake zao, usimind kama we sio wa makabila hayo cause mtu anaweza akawa na tabia nzuri tofati na inayosifika kwenye jamii yake.
 
Hivi ni fair kuvaa diamond wakati kuna watu kibao wanashinda njaa au kuna ndugu zako kibao wanakosa pesa ya kunua kauzu???

Kwani katika mambo ya kuwa na mahaba, siwezi kumlipia karo shem ikamsuuza roho mwandani wangu??

Hilo suala la is it fair kuvaa diamond ring wakati kuna watu wanashida duniani linaweza kuanzisha mjadala mrefu lakini kwangu ni fair sana tu. I worked hard for that money ( or the man did), why shouldn't I use it as I see fit?

Unaweza kumlipia karo shem wako na ukamsuuza mwanadani wako sana tu, ila kama mwandani wako hana shem anaehitaji kulipiwa karo jee? Tusikimbie reality tukataka kufanya Watanzania wote wana shida hizo, wengine hawana mkuu, hawa haki yao ya kuonyeshwa mahaba ndo ipotee?
 
Tukubali kuenenda kama ilivyo desturi yetu
Kuiga kila kitu kunatugarimu mno
Mapenzi ya kizungu si hadhi yetu
 
Desturi yako ni ipi? Basi tuendelee mwanamke kuwa mama wa nyumbani pia na kutosomesha watoto wa kike.

Huwezi kutaka mabadiliko kwenye desturi katika selected issues tu, lazima mabadiliko yapige kote kote
 
Halafu bwana, guys ambao wako romantic sana, hata kama malaya wa kutupwa, unawezakuta girl anamganda tu, hataki kuachana naye
 
Kwani na ww unategwa?hapo naelezea ukweli, kwa mfano eti kuna rafiki yangu kaachana na bf wake, kisa anaona shida anapoongea kiswahili wakati wa majambo, nikamshangaa sana, mie napenda full kiswahili,wasichana tunatofautiana
Duu ehe kizazi cha dot com....
 
Hi Guys!,Kwa upande wangu Guys, though Mi si mtaalam hasa wa hizo issues, nilishawahi kusikia kwamba Wanaume wenye asili ya Kilatino ndio wako romantic kinoma Duniani, watu wenye asili ya Kilatino wanasifiwa sana kwenye malavidavi, ila Mi kwa Bongo nawaapriciate zaidi wanaume wa A-Town, naona wako poa vya kutosha na wanarespect women but ukimkutata jeuri utajuta, some people wanawasifu pia wanaume wa Tanga, but apart ya hiyo issue ya kuwa romantic na other personal behaviour, Bongo,wanaume wa kinyakyusa, kimachame na Kisukuma ndio wanaowacare zaidi, kuwapenda na kuwarespect wake zao, usimind kama we sio wa makabila hayo cause mtu anaweza akawa na tabia nzuri tofati na inayosifika kwenye jamii yake.

wataliano na watu wa tanga??????
wana sifa nyingine pia hao..lol labda hukuambiwa yote lol
 
Back
Top Bottom