Eti gazeti Uhuru limepanda bei!

Msendekwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
442
168
Nimepita kibanda cha magazeti, nikakuta kuna jamaa kanunua Gazeti la Uhuru, katoa buku, akashtuka kurejeshewa sh 300!
Kwanza nikastaajabu kuona mtu anatoa pesa kununua gazeti hilo, lkn mshangao ukaongezeka kugundua kumbe nalo linauzwa sh 700!
Kawaida hulikuta gazeti hili mi hulikuta ofisi za umma, naona wameamua kufidia hasara kwa kupandisha bei, ili walau serikali inapowaungisha, warejeshe gharama za uchapaji.
 
Mna manenooo, hutaki unasoma la nini si uache uendelee na hayo yakooo
 
Angalizo kwa wanaokariri mambo!
Hakuna ofisi wala taasisi yeyote ya serikali inayolazimishwa kununua gazeti lolote.
Hata ofisi za CCM zenyewe hununua Uhuru.
Kama kuna maeneo ambayo si rahisi kulikuta Daily News, ni kwenye ofisi za serikali.
Hili hununuliwa zaidi na wafanya biashara na taasisi za kigeni.
Inauma lakini Daily News ndilo linaongoza kwa mauzo ya machapisho yote ya kiingereza nchini.
Uhuru haliuziki kwa sababu tu ya poor layout na horrible marketing!
Habari Leo na Tanzania Daima hayauziki kwa ajili ya poor contents na wala siasa hazihusiki.
 
Huyo atakuwa kada tu wa CCM maana mtu wa kawaida hawezi kununua gazeti la Uhuru mi hata silisikii hata vichwa vya habari zake kusomwa kwenye radio
 
Labda limeongezeka uzito ndo maana wamepandisha bei. Lazma linauzwa kwa kilo hilo.

Mie nasubiria likianza kuwekwa online ndo nianze kulisoma. Ngoja nikaoteshe mwembe.
 
Hata wakifungia maandazi hayo maandazi sili. Halifai hata chooni hilo jigazeti.
 
...Kuna Watu Wanajipa Matumaini Humu. Jamani haya magazeti kuna mwanaJF aliishasema huku kwamba hata wauza Vitumbua, Chapati na Maandazi hawayafungii haya kwa sababu yanafukuza Wateja!!!:becky:
 
Duuuuuh mpaka kwenye biashara haya magazeti hayatumiki basi hii ni nomaaaaa!!!!
 
Angalizo kwa wanaokariri mambo!
Hakuna ofisi wala taasisi yeyote ya serikali inayolazimishwa kununua gazeti lolote.
Hata ofisi za CCM zenyewe hununua Uhuru.
Kama kuna maeneo ambayo si rahisi kulikuta Daily News, ni kwenye ofisi za serikali.
Hili hununuliwa zaidi na wafanya biashara na taasisi za kigeni.
Inauma lakini Daily News ndilo linaongoza kwa mauzo ya machapisho yote ya kiingereza nchini.
Uhuru haliuziki kwa sababu tu ya poor layout na horrible marketing!
Habari Leo na Tanzania Daima hayauziki kwa ajili ya poor contents na wala siasa hazihusiki.

Hapo kwenye RED ni sawa na kwamba unachokiongea hukijui. Kwanza mimi nimeshangaa kusikia kuwa bado kuna mwananchi wa kawaida anasoma UHURU! Hata siamini.
 
Angalizo kwa wanaokariri mambo!
Hakuna ofisi wala taasisi yeyote ya serikali inayolazimishwa kununua gazeti lolote.
Hata ofisi za CCM zenyewe hununua Uhuru.
Kama kuna maeneo ambayo si rahisi kulikuta Daily News, ni kwenye ofisi za serikali.
Hili hununuliwa zaidi na wafanya biashara na taasisi za kigeni.
Inauma lakini Daily News ndilo linaongoza kwa mauzo ya machapisho yote ya kiingereza nchini.
Uhuru haliuziki kwa sababu tu ya poor layout na horrible marketing!
Habari Leo na Tanzania Daima hayauziki kwa ajili ya poor contents na wala siasa hazihusiki.

Mkuu tupe takwimu za mauzo ya Uhuru, Tanzania Daima, Daily News na Habari Leo ndio tutaelewa. Kuongea tu kwa maneno bila statistics ni kwa maoni yako na inahusu tu kilometa moja inayokuzunguka!
 
Back
Top Bottom