eti Galaxy TAB 10.1 INATUMIA SIMCARD?????

"7 najua kwa uhakika zinatumia kwahiyo unaweza tumia 3G. .
10.1 nadhani zipo zinazosupport 3G na ambazo hazisupport kwahiyo unatakiwa uwe na wi-fi for dat transfer.
 
zote zinatumia mkuu, hapo ndipo Samsung walipompiga bao apple ipads ambazo kwa sehemu kubwa utaenjoy kama una wi-fi ambayo huku bongo ni sehemu chache sana ndo zina wi-fi hata hizo chache mpaka uwe na password.

Samsung tablet tunapeta tu kwa sababu zinatumia simcards. 3G kama kawa!!!
 
mkuu haujajishtukia tu mi nilidhani utarekebisha post yako ndani ya mda mfupi! ok, kwa kifupi elewa tu kuwa hata iPad zina version ya WiFi pekee na WiFi + 3G! hata sisi tuna tunapeta kwasababu zinatumia simcards. 3G kama kawa!!! :redface:
 
duuh brother unacompare Samsung tablets na mali za apple iPad?
parefu mno, labda ungecompare na android tablets hivi.
ok. tukirudi kwenye swali: yup kaka zinatumia sim card so no need kua na moderm.
 
mkuu

mbona Samsung Galaxy Tablet inatumia Android OS .... so Samsung galaxy Tablet is an Android Tablet
 
Back
Top Bottom