Eti fiesta ni tamasha la kitaifa duh!

In short, bongo fleva ni upuuzi mtupi. Ule si muziki bali ni ujinga na janga la taifa kwa vijana wa kesho. Watu kusoma na kuandika hawajuwi ukimuuliza kwa nini eti hataki shule anataka kuwa msanii wa fleva.
 
Back
Top Bottom