Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
kizazi hiki cha nyoka kitajazana sana!
JF Never supports the freaks,
siendi kwenye upumbavu bora nikaogelee na Familia yangu bwawani Mindu
Hahaha
Mtake radhi mama wa watu.. kwa nini umhukumu kwa makosa ya bintie???? Wema ni mtu mzima and she is responsible for her own actions
Simtaki radhi,kama vipi tukutane mahakamani,nataka kumfungulia kesi ya kushindwa kumlea huyu binti.
Usifananishe nchi ya TANGANYIKA na wilaya moja inayoitwa ZENJ hapa, kumbe hujui eeeeeeeeeh!!!!!!!!!!!!! zenj ni sawa na wilaya moja huku bara, anayebisha atoe ushahidi wa kidemografia, na sio longo longo.. Bora kuwa Mzanzibari Hakuna haya mambo.
Jamani wanajamvini nimemsikia mkurugenzi wa Clouds Entertainment kuwa tamasha la Fiesta ni la kitaifa kwa kuwa wamepata ushirikiano wa nguvu kutoka kwa polisi coz wanakuwa na Polisi 500 kwa ulinzi.
swali hili tamasha la fiesta lina Utaifa gani zaidi ya Maovu kibao kule na wanatangaza kuwa kila kipindi kitakuwa na Bar yake ili watu wanywe na kusazaa.
duhuuuuu hii ndo tanzania bwana Polisi wanaacha mambo ya msingi wanashabikia ujinga Bora kuwa Mzanzibari Hakuna haya mambo.
Usifananishe nchi ya TANGANYIKA na wilaya moja inayoitwa ZENJ hapa, kumbe hujui eeeeeeeeeh!!!!!!!!!!!!! zenj ni sawa na wilaya moja huku bara, anayebisha atoe ushahidi wa kidemografia, na sio longo longo
Bora kitongoji che uongozi thabiti kuliko nchi inayojiendesha ona sasa clouds wameamua kuliita la kitaifa na mwakani si ajabu likawekwa kwenye kalenda..