Eti Dk Edward Hosseah amejiuzulu?

MzeePunch

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
1,412
203
Habari zilizozagaa sehemu mbalimbali mchana huu zinasema Dk Edward Hosseh, bosi mkuu wa Takukuru amejiuzulu wadhifa wake. Wenye taarifa za uhakika watupashe.
 
Habari zilizozagaa sehemu mbalimbali mchana huu zinasema Dk Edward Hosseh, bosi mkuu wa Takukuru amejiuzulu wadhifa wake. Wenye taarifa za uhakika watupashe.
kuna mtu wa TAKUKURU KANITUMIA UJUMBE , anasema kuwa ni kweli mjamaa ameandika barua kwenda kwa mabosi wake, ila bado wanakimbizana na jamaa wa pale kuujua ukweli
 
Last edited:
kuna mtu wa TAKUKURU KANITUMIA UJUMBE , anasema kuwa ni kweli mjamaa ameandika barua kwenda kwa mabosi wake, ila bado wanakimbizana na jamaa wa masijala ya siri ya pale kuujua ukweli

Mwambie jamaa yako wa Takukuru achacharike apate taarifa za ndani ili utudondoshee humu jamvini.
 
Inawezekana kuwa the noose has slowly started tightening, na inawezekana kuwa anajua mbio zimefika sakafuni.
Nakumbuka jamaa alivyowatukana wanafanyakazi pale takukuru as if he was God of PCCB siamini kama kweli anajiuzulu, sijui atawaangalia vipi wale jamaa. Aliwaambia wapeleke majungu kwa wake zao, sasa sijui atawaambia nini!
 
Back
Top Bottom