eti.............choo cha treni hakina chemba......

bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,282
797
Mmmh,

Habarini za asubuhi waungwana,

poleni na misukosuko na gwaride la maisha..................

Unajua tena bongo, vijimaneno huwa haviishi, kama kawaida vinaibuka na kupotea kwenye jamii,

lakini vingine vinashamiri kama sio kutakata miongoni mwa jamii zetu...........

huwa nasikia huu msemo, hasa kwenye redio zetu hizi za kibongo,

''Choo cha treni hakina chemba''

nimejitahidi sana kudadavua lakini bado nashindwa kupata maana hasa ya huu msemo.......

najiuliza ni maana gani hasa ilikuwa inakusudiwa hapo?

sijui ndo umri huu umenipita, au ndo kushindwa kudance na mirindimo ya kisasa.

Naomba msaada wenu please........................


wasalaaam aleikhumm.................
 
Habari yako Bacha... Pole bana naona msemo umekubana mpaka umeeanza kwa kuguna....lol... Enways mie nashukuru umeuleta maana ndo "bismillah" Hivo tuko pamoja....
 
Back
Top Bottom