Eti babu kaleta Kasheshe kweli hii au 01.04.2011

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Babu Ambi wa Loliondo aliwaambia wagonjwa wakae kwenye mistari....wale wenye ukimwi mstari wao na wale wenye kisukari pia mstari wao. Watu wote wakajaa kwenye mstari wa wagonjwa wa kisukari.

Babu kuona wote ni wa kisukari akasema.."ngoja hii dawa ya ukimwi niimwageee"....watu wakapiga keleke..aaah babu usiimwage.... tumejichanganya...babu! usiimwage......!!!!!
 
Back
Top Bottom