Eti anataka tusahau yaliyopita..........

Unatakiwa kusoma alama za nyakati, huyo binti hana mapenzi na wewe kabisa alichohitaji ni kukutumia ili afikie malengo yake!..
Shukuru amefeli kidato cha nne, ungesomesha halafu jamaa waje wachukue kiulaini. Hata sasa anatafuta pa kupumulia kwa kuwa ana tatizo. mwaanamke wa aina hiyo hata km utamwoa hatakuwa mwaminifu ni mnafiki tu.
 
Sawa mkuu ila sio katika kurudiana aise
maana what if maisha ya yule aliyempa mtoto yakiwa mazuri akarudi kuomba samahani
What will happen kwa jamaa
mkuu rocky kuachana kwa wapenzi kupo kwa aina nyingi,hata hii case ya wawili hawa ni kitu cha kawaida.unadhani hawadeserve second chance ?
mapenzi ni kitu sensitive sana
kama anampenda amuoe tu ,nadhani hata huyo mdada amejifunza.
kwani ni wangapi wameachana na wapenzi wao wakaolewa au kuoa na wanasumbuliwa na wapenzi wao wa zamani na hawawakubali.
 
Leo unashusha mapoint ya ukweli sana, itakuwa ulisali asubuhi...

Aaah sijui kwa nini niko via mobile, nashindwa kukutendea haki...

Aise nakudai like zangu nyingi tuu
Sometime inabidi kuwa hivyo bana na sio muda wote ni utani tuu
 
hahaha yawezekana pia japo ni nadra sana kwani kama jamaa akichukua basi ndo ushindi ila naamini itakuwa rahisi kuhamia kwingine kwani atakuwa na matarajio makubwa

Mkuu tuwape benefit of doubt na tuwaachie another chance to proove that they love each other
But hapo jamaa awe makini asije akaachwa kwenye mataa for the second time
 
mkuu rocky kuachana kwa wapenzi kupo kwa aina nyingi,hata hii case ya wawili hawa ni kitu cha kawaida.unadhani hawadeserve second chance ?
mapenzi ni kitu sensitive sana
kama anampenda amuoe tu ,nadhani hata huyo mdada amejifunza.
kwani ni wangapi wameachana na wapenzi wao wakaolewa au kuoa na wanasumbuliwa na wapenzi wao wa zamani na hawawakubali.


Nakubaliana na wew ena they can be back together again
But man should be extra careful kuhakikisha kuwa hilo sio changa la macho tena
Na hapo hata kama ni changa la macho atajua tuu maana mapenzi yana mengi na jamaa anatakiwa kuwa macho sana
 
Mkuu anything can happen kwa jamaa
Je akimwacha mke aliye nae sasa akarudi kusema kuwa shetani alimpitia na bado anampenda mzazi mwenzake hapo inakuwaje
Wanawake ni vigeugeu mbaya
Unachoongea ni ukweli mtupu...


Nilimshuhudia mdada kaachana na mume wake, mume kaoa mke mwingine, mdada nae akaona isiwe tabu akajipatia kabwana kengine japo hawakuwa wameoana, mume wa kwanza alivogundua akaanza kumuwinda yule mkaka eti anadai ndie amesababisha ndoa yake ikavunjika, akawa anamfanyia fujo yule mkaka kila anapokutana nae!

Waungwana wakamshauri mkaka akakate RB, heee! Mdada si akamgeuka eti anamwambia utamkatiaje mume wangu RB?... Watu wakabaki na mshangao, wakamuuliza mumeo wakati alikuacha na ana mke wake? Mdada akawa haelewi, kamgeuka jamaa aliyemsitiri kwenye shida zake...

Nakubaliana na wewe wanawake ni vigeu geu sana ingawaje kuna wachache wenye msimamo!
 
kaoa au kasogeza?
Wametalikiana kisheria?au kidini?

Labda wanataka kusaidiana kusogeza ujana

kongosho .. huyu jamaa katoa tahadhari kwa madai kwamba jamaa alishaoa mwanamke mwingine kwa maana nyingine huyo mdada yuko huru nae
 
Aise nakudai like zangu nyingi tuu
Sometime inabidi kuwa hivyo bana na sio muda wote ni utani tuu
Ntazilipa usijali....

Nimependa unavyotoa michango serious, mleta uzi kama yuko serious atajifunza sana kwenye ulichoandika!
 
na bila shaka wako pamoja au kama sio pamoja washakutana
Ehhh tena jamaa alikataliwa hata kufanya mapenzi kisa anasubiri kuoa wakati dada wa watu alikuwa na mwingine anayefaidi
Kuja kushtuka mimba tayari
Then out of nowhere anakuja kuliliwa sasa kuwa aise naomba turudiane na shetani anavyosingiziwa unaaambiwa ni shetani tuu alinipitia
huyu mdada akupenda kuwachanganyia tunda bwana ndo maana alikuwa anamnyima hope yake ilikuwa kwa huyo jamaa mwingine.
sema alishindwa kuchezesha gemu vizuri kwa kumkataa jamaa kabisa
ndo maana huwa nasema usitukane misitu kwa ajili ya mti mmoja jamani
 
Ntazilipa usijali....

Nimependa unavyotoa michango serious, mleta uzi kama yuko serious atajifunza sana kwenye ulichoandika!

Asante sana
Sometime unajua mambo mengine ukiyasoma unayarelate na ukweli haalisi wa maisha wanayokutana nayo watu mbalimbali na vvisa kama hivvi vipo kwa watu na vijana na wanaanguka
Usipikuwa makini issue kama hii unajikuta umetumbukia mzima mzima na then inakuwa issue kwako

huyu mdada akupenda kuwachanganyia tunda bwana ndo maana alikuwa anamnyima hope yake ilikuwa kwa huyo jamaa mwingine.
sema alishindwa kuchezesha gemu vizuri kwa kumkataa jamaa kabisa
ndo maana huwa nasema usitukane misitu kwa ajili ya mti mmoja jamani

Yeah dada alifanya kosa kubwa sana
Na then anajutia baada ya matokeo
Angekuwa makini kumsoma huyo mume wake mpya na baba wa mtoto wake asingeliutwa na masahibu kama haya
Na hgapo jamaa wa kwanza alimpenda sana kwa dhati akijua amepata mke matokeo yake katendwa
 
hivi watu walozaa pamoja huachana for good kweli?

Kukumbushia muhimu
kama yuko tayari na kukumbushiwa mkewe basi aendelee
na uoaji.

Nakubaliana na wew ena they can be back together again
But man should be extra careful kuhakikisha kuwa hilo sio changa la macho tena
Na hapo hata kama ni changa la macho atajua tuu maana mapenzi yana mengi na jamaa anatakiwa kuwa macho sana
 
maisha ni safari ndefu sometimes huwa tunafanya mambo mengi bila kujua matokeo yake.ila maisha sometimes huwa yanatupa second chance,kama huyo binti ndo furaha yako wewe chukua tu.maana unaweza kuchukua mwingine mambo yakawa hayohayo au akawa na matatizo mengine
angalia furaha ya moyo wako
life ni happiness tu ayo mengine ni ziada tu
so if the girl is your happyness then mchukue dunia ni hii hii hamna alie mkamilifu

Wewe na kukuimbia tenzi za kukuaga,unarudi jamvini bila taarifa,wewe binti mbaya nitaomba mwongozo.

Kuhusu jamaa apime mwenyewe ukweli wa majuto ya binti kama ni kweli,tusisahau umri wake ulikuwa pia ni factor ya kufanya maamuzi yale.Akithibitisha aamue,heri nusu sharikuliko shari kamili.......mwanamke aliekamilika kama tunavyotamani sisi utampata wapi? angalia vigezo vyako vya haki!
 
hivi watu walozaa pamoja huachana for good kweli?

Kukumbushia muhimu
kama yuko tayari na kukumbushiwa mkewe basi aendelee
na uoaji.

Hapo ndipo uaminifu wangu kwa huyop dada unapuungua
na swali kubwa what will happen kama yule mume akiachana mkewe na akarudi kw ahuyu dada na kilio kuwa samahani ni shetani tuu alinipitia turudianae
 
Utashangaa anaweza kuwa mke mzuri sana maana keshaonja joto ya jiwe!
Mchukue.
Yaani simple like that!!! Acha kumdanganya mwenziao wewe. Akiharibu hapo ndiyo kaharibu familia yote na ukoo ujao. Is clear kwamba something is wrong kwa upande wa huyo dada. And now she is looking for refuge. Kakosa nyama na sasa hata dagaa atakula. Huyo jamaa aliyempachika mimba na kumuacha, kwa nini alimuwacha? Hapo yawezekana issue isiwe clear sana. Lakini jambo moja is very clear, huyo dada hana mapenzi ya dhati na wewe. Asikudanganye mtu bwana, mapenzi ni two way lane. Kuna give and take. Na mapenzi ya two lane ndiyo msingi wa kilakitu. Kupenda usipopendwa si tatizo. Tatizo ni pale unaposhindwa kukabiliana na hali ya kupenda usipopendwa. Brother give yourself a time, usiwe na haraka. Kutoka kwenye hiyo hali ni process. Siyo kitu cha kuamka usiku mmoja na kujikuta umeshamsahau huyo dada. Kwenye swala la process, patience ina-play a very big role. Weka akilini mwako neno ''patience''. Kila uamkapo asubuhi na pale unapomkumbuka huyo binti sema maneno haya ''ni kipindi cha mpito, nahitaji uvumilivu ili kipite hichi kipindi''. Ikija image yake rudia tena hayo maneno. Fanya hivi kwa muda wa mwezi mmoja. Tricky hapa ni kujipa muda, time is a great healer. Wakati huohuo ujikite zaidi kwenye shughuli zako, ujichanganye na watu baada ya shughuli zako. Tafuta kitabu ambacho kila ukiwa idle utasoma walau paragraph 2. Ni process and you need to work hard for your better. Sometimes is expensive as well. Vilevile unaweza ukajaribu once in day, call one of your sister umsalimie na muongee mambo ya kawaida tu au ya kifamilia kama yapo. After a month let me know.
 
mara nying moyo hua unaanza kkshaur,sa we jimoyo lako linasemaje?....njoo unioe mm km hujielew
 
kaoa au kasogeza?
Wametalikiana kisheria?au kidini? Labda wanataka kusaidiana kusogeza ujana

kongosho huyo wa kwanza hakuolewa ila ni mzazi mwenzie na inavyoonekana hawakuishi pamoja kulingana na maelezo ya jamaa alipokuwa anafuatilia msichaa anamkwepa hao inaonyesha hawakuwa wanaishi na mzazi mwenzie ... jamaa kakolea anatafuta huruma ya watu hahah
 
Mkuu tuwape benefit of doubt na tuwaachie another chance to proove that they love each other
But hapo jamaa awe makini asije akaachwa kwenye mataa for the second time

mkuu tatizo ukishazama huwezi kukumbuka hadi matatizo yaanze ndo ataamka hahahaha
 
Back
Top Bottom