Eti anafuta nyayo za CHADEMA, kweli?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Mengi yameongewa juu ya maandamano na ziara ya viongozi wakuu wa CHADEMA pamoja na baadhi ya wabunge wao katika kanda ya ziwa. Baada ya ziara ya mwisho ya CHADEMA mkoani Kagera, Waziri Mkuu (ajiitaye mtoto wa mkulima) alianza ziara mkoani humo. Wengi walidai kuwa hiyo ni ziara ya kufuta nyayo za CHADEMA.
Sasa angalia katika hii picha, kisha toa maoni yako.Huu ulikuwa ni mkusanyiko uliokuwa unamsikiliza Mh. Pinda, na hao walioko hapo mbele walikuwa wanamuuliza Pinda maswali.

IMG_4257.JPG
 
Ukimtazama tu usoni huyu Mama mwenye MIC, Utagundua kuwa swali lake linaugusa moyo!
 
Najaribu kufikiri, hivi kiongozi anajisikiaje akiona watu anaowaongoza wako kama wanavyoonekana? Hii ya maswali hata siielewi maana hamna kitu kinafanyika. Yule mtoto aliyeuliza inakuwaje kiongozi mmoja anakuwa na vyeo vingi mpaka leo hajajibiwa.
 
mie nilikuwa katika msafara huo nakwambia watoto ndio walikuwa wengi katika mikutano ya pinda aliye pinda
 
Huyo Pinda, siono cha maana anachofanya zaidi ya kuongezea serikari 'bomu' mzigo,
enzi za kusema tumekwisha panga mikakati ifuatayo zimepitwa na wakati, mi naona amekuwa domo kaya
 
Mengi yameongewa juu ya maandamano na ziara ya viongozi wakuu wa CHADEMA pamoja na baadhi ya wabunge wao katika kanda ya ziwa. Baada ya ziara ya mwisho ya CHADEMA mkoani Kagera, Waziri Mkuu (ajiitaye mtoto wa mkulima) alianza ziara mkoani humo. Wengi walidai kuwa hiyo ni ziara ya kufuta nyayo za CHADEMA.
Sasa angalia katika hii picha, kisha toa maoni yako.Huu ulikuwa ni mkusanyiko uliokuwa unamsikiliza Mh. Pinda, na hao walioko hapo mbele walikuwa wanamuuliza Pinda maswali.

IMG_4257.JPG

Huyu Mwenye MIC aitwa Mariam Said, mdongo wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CUF) Saverina Mwijage ambaye Amefulia kwa sasa.
 
kwanza huyo anayeongea mwenyewe hana uhakika na anachokiongea!!!
 
Huyo mwenye kijani ndo katumwa kuwatungia maswali ya kuuliza? wasijemuuliza gumu likamuumbua <<<Nakumbukia tu Midahalo enzi za uchaguzi>>>
 
Najaribu kufikiri, hivi kiongozi anajisikiaje akiona watu anaowaongoza wako kama wanavyoonekana? Hii ya maswali hata siielewi maana hamna kitu kinafanyika. Yule mtoto aliyeuliza inakuwaje kiongozi mmoja anakuwa na vyeo vingi mpaka leo hajajibiwa.

Yaani acha tu ndugu yangu mie mwenyewe nimejiuliza swali hilo. Utadhani hawako tanzania moja na sisi? kwa nini kuna tofauti kubwa sana kati ya wenye ncho na wasio nacho?? na wanaojazaga mikutano mara nyingi ni walalahoi wenye nacho wamejificha ndani.
 
Njaaa, yaani maisha magumu .............angalia nyoso/sura za watoto inasikitisha kweli.
 
Huyo mwenye kijani ndo katumwa kuwatungia maswali ya kuuliza? wasijemuuliza gumu likamuumbua <<<nakumbukia tu="" midahalo="" enzi="" za="" uchaguzi="">>>

ningekuwepo hupo ningekandamiza swali kama lile la yule dogo wa 4m 2 wa kanda ya ziwa aliyemuumbua lowasa</nakumbukia>
 
Back
Top Bottom