Eti afadhali tukose wote

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Wadada acheni fujo na vurugu. Utakuta mtu katemwa badala ya kukaa chini na kutafakari makosa yake, anaamua kuharibu mambo ya wengine.

Afadhali tukose wote na misemo ya walio shidwa siku zote (not qualified)

women_fighting_for_a_man_m44-437439.jpg
 
Kuna wadada wanamtaka jamaa, lakini mmoja ndoo kamua kufanya kila liwezekanalo kutibua kila kitu ili wakose wote maana yeye dalili za kumpata jamaa zimesha fikia zero.

Sasa siungetoa haya maelezo yote mwanzoni???
Neway mpaka wafikiekumgombania mwanamme wameonyesha wote hawana maana.Si watafute wengine huko...au kabaki peke yake duniani??
 
Sasa siungetoa haya maelezo yote mwanzoni???
Neway mpaka wafikiekumgombania mwanamme wameonyesha wote hawana maana.Si watafute wengine huko...au kabaki peke yake duniani??

Ina maana lizzy hujawahi gombania mwanaume??
 
Ina maana lizzy hujawahi gombania mwanaume??

Sijawahi....sina mpango na wala sitarajii itokee.
Kwa lipi haswa????Mwanaume mpaka akuweke kwenye position ya kumgombania na mwanamke mwenzako maana yake ni kwamba yeye ameshindwa kuchagua na anawachezea wote...yani sio wewe wala huyo mwenzako mwenye maana kwake...huo muda kukubali kufanywa mjinga unatoka wapi?
 
Lizzy naamini hujapenda bado.
 
Heheheh....staki mie.
Mwisho ntaambiwa na WIVU.

hahahahahahaha kama yaliyokukuta kwenye sred ya Bebii, masikini kumbe ilikuuma hahahaha pole jamani ila na wewe umezidi umontress wangu.
Unalo!
 
hahahahahahaha kama yaliyokukuta kwenye sred ya Bebii, masikini kumbe ilikuuma hahahaha pole jamani ila na wewe umezidi umontress wangu.
Unalo!

Siwezi kuumia kwa maneno ya JF hata siku moja....wala kuacha kusema nnachoona ni sahihi kwa kuogopa watu ambao hata kuwaona siwaoni.
 
Kwahiyo ukipenda unakua mjinga???
Basi wala sitokaa nipende!!!

Ni kweli ukipenda kweli unavishwa kaujinga fulani. Lakini nisikukatishe tamaa, kupenda ni haki yako ya msingi kikatiba.
 
Ni kweli ukipenda kweli unavishwa kaujinga fulani. Lakini nisikukatishe tamaa, kupenda ni haki yako ya msingi kikatiba.

Kupenda ntapenda kwa sheria zangu....swala kumgombania mwanaume siwezi kulidefine kama mapenzi hata siku moja. Hata kama ingekua ni mimi ndo nnaegombaniwa....ningewaona wote wanaonigombania wanaact kama malimbukeni. Kama sijaweza kukuchagua maana yake sikuthamini wala sikupeni kiviiile.....sasa unahangaika nini?
 
Hapo lazma ufanye uamuzi mgumgu. Uwatose wote wawili.
 
Back
Top Bottom