Eti :A S 13: ndio nini?

sijuikitu

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
286
12
Wadau,
Naona kuna watu wakiwa wanapost kwenye threads mbalibali huandika :A S 13: kwenye post zao.

Hivi maana yake nini?
 
sasa ndio mtuambie ni kitu gani ili nasi tupate jua,...maake hata mm sijui kitu kama ndugu yangu sijui kitu

Vingine ni mikwala havina haja ya kuumiza kichwa mwana kwa raha zako!
 
ili lilikuwa ni tatizo la "SIJUIKITU" hata akiambiwa bado hajui kitu! lakini kumbe sijuiKITU wako wengi humu!mhhh!

Wadau,
Naona kuna watu wakiwa wanapost kwenye threads mbalibali huandika :A S 13: kwenye post zao.

Hivi maana yake nini?
 
Asante kwa kunisaidia Mjanga....mi nilifikiri wezangu wameona nilichoona mimi kunge hola.....haya, kwa wale wasiojua ":A S 13:" ni ki ICON cha sura inatingisha kichwa :A S 13:
 
pia nadhani haifanyi kazi ukitumia herufi ndogo....inabidi ziwe herufi kubwa tu....so ukifanya hivi :a s 13: haifanyi kitu, ila ukifanya :A S 13: (herufi kubwa tupu) ndio inatokea.
 
Asante kwa kunisaidia Mjanga....mi nilifikiri wezangu wameona nilichoona mimi kunge hola.....haya, kwa wale wasiojua ":A S 13:" ni ki ICON cha sura inatingisha kichwa :A S 13:

kwa hiyo ulikuwa unatusareee sio eehh....tintin wewe
 
kwa hiyo ulikuwa unatusareee sio eehh....tintin wewe

Hapana Preta, mi mwenye nilikuwa sifahamu, ila tu baada ya kupost ndio nikaona....ndio maana baada tu ya kupost nikapost tena kujicheka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom