ETI 5Oyrs OF INDEPENDENCE!

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Cjui mimi mwenyewe ndo naliona hili: WAMAREKANI, IRAN, ISRAEL, RUSSIA Wakuju sana kivita kiasi kwamba wanatumia ndege ziczo na rubani na makombora ya masafa marefu zaidi yenye 'TREMENDOUS IMPACT'. Cha ajabu;! TANZANIA WANAAZIMISHA NAKUJIFANYA FITI KIVITA HUKU POLICE, MILITANTS etc WAKIVUNJA MAWE KWA KICHWA. Tukazane bana maana bana bado tuko mbali aisee.
 
ulitakaje? Umechangia kiasi gani ktk hayo matakwa yako? Au ndio unaponda tu wakati mwenyewe ni sehemu ya tatizo?
 
Cyo hivyo jombaa! Ishu hapa iko hivi; ukiona style ya FFU Wakiwa wanatuliza ghasia utafikiri ni wamaaana wakati kumbe bado tuko soil level na wala cyo grass level. Haimanishi nakejeli ila hii ni kituko kweli. Yani kinazi kimoja mpaka tofali pasupasu.
 
Back
Top Bottom