Ethiopian PM Meles Zenawi dies at 57 after illness

R.I.P Mh. Zenawi, kuna kitu ambacho sikielewi vizuri, hivi kwa nini hawataki kueleza vifo vya Zenawi na yule wa Ghana vilisababishwa na ugonjwa/maradhi GANI?
 
R.I.P Mh. Zenawi, kuna kitu ambacho sikielewi vizuri, hivi kwa nini hawataki kueleza vifo vya Zenawi na yule wa Ghana vilisababishwa na ugonjwa/maradhi GANI?
Tetesi ni kwamba hao jamaa walikuwa na msimamo usiotetereka kutetea maslahi ya nchi zao kinyume na matakwa ya nchi za magharibi..so watawala wa dunia wakaamua kuwa-eliminate. Ndo maana vyombo vya habari vya magharibi vilikuwa busy kusema Meles ni dictator. R.I.P Meles, R.I.P Prof. John Mills
 
Hata mimi niliona haya hayakuwa matukio ya kawaida hata kidogo! Sasa tawala hizi za mataifa ya magharibi naona kama UKUAJI wa kiuchumi na kijeshi wa CHINA umewafanya wachanganyikiwe kidogo, yaani ukiona mama Clinton anavyo angahika akijaribu kushurutisha nchi nyingine zisiwe karibu na Uchina mtu unabaki unashangaa. Sijuhi hizi ndizo dalili za mwanzo wa mwisho wa Merikani kama tunavyo hijuwa? Jamaa hawa wanapaswa kubadirika/kubadirisha misimamo yao la sivyo watapata wakati mgumu hapo mbeleni.

.
 
Kuna muethiopia aliyeshiba katika hii video, alimwambia Zenawi kuwa hawataki kusikia habari ya chakula, wanataka uhuru (domo-krasia)

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom