et i inasemekana lulu alitumwa kumuua kanumba?

Apr 7, 2012
32
5
wana jf naombeni ukweli juu ya hili eti kila kona ukipita watu wanasema kuwa lulu alitumwa kumuua kanumba hivyo anayejua lolote naomba anijuze huyo mtu aliyemtuma ni nani?
 
.....jibu lako ni vry simple.....

.... LULU....katumiwa na MASHETANI.....

.....kwa taarifa tu .... "SHE IS INNOCENT"..
 
Inamaana kahusika indirect?

......thats whats up....!!

....na uhakika hata huko polisi aliko hajitambui.......

.....the GIRL is damn INNOCENT......

.....na ndio maana aliomba hata ahudhurie mazishi......
 
......thats whats up....!!

....na uhakika hata huko polisi aliko hajitambui.......

.....the GIRL is damn INNOCENT......

.....na ndio maana aliomba hata ahudhurie mazishi......
Dah kuna mengi nyuma ya pazia
 
inaonekana wali nazi we unaelewa mengi juu ya ukweli uliojificha wa kifo cha kanumba. tafadhali nijibu na mm roho yangu itulie maana unvyojibu kwa mkato hata sikuelewi mwenzangu

.....hapana c elewi kitu.....

Im just thinking deeeepppppp......
 
......thats whats up....!!

....na uhakika hata huko polisi aliko hajitambui.......

.....the GIRL is damn INNOCENT......

.....na ndio maana aliomba hata ahudhurie mazishi......

We nduguye the late sheikh Yahya?

Kwani kuomba ahudhurie mazishi ndio nini? Tafsiri yako haiwezi kuwa 'UKWELI' unless ulikuwepo eneo la tukio, wakati wa tukio au una namna ya kuona yale yasiyoonekana.
 
We nduguye the late sheikh Yahya?

Kwani kuomba ahudhurie mazishi ndio nini? Tafsiri yako haiwezi kuwa 'UKWELI' unless ulikuwepo eneo la tukio, wakati wa tukio au una namna ya kuona yale yasiyoonekana.

.....im just thinking deeeeppppp......
Take ur time......
 
Back
Top Bottom