Ester Matiko ananiumiza

Status
Not open for further replies.
Inabidi atuambia kama yuko serious kweli aseme. Kuna dada mmoja wanafanana naye kila kitu, kama yuko tayari kubadili msimamo mi nikutambulishe harafu wewe utaendelea.

bro kama inawezekana nisaidie mzee kwa jinsi navompenda ester ni pm uyo mwingine wanae fanana ili hawe mbadala wake ntashukuru sana.
 
Mke wa mtu huyo. Utaliwa kiboga kushobokea vya watu

Mkuu ban imeisha? Naona ujaacha uharo wako,sasa umeandika nini hapo,jieheshimu mkuu wale watoto wako wanajua wana baba kumbe ni tope tupu...
 
Asalaam walekhum wanajamvi!dah leo nimeamua kutoa dukuduku langu humu ili mnisaidie,sasa nimetokea kumpenda mbunge wa viti maalum cdm ester matiko,uyu binti jinsi anavoongea,alivo sura yake na umri wake umenifanya nichanganyikiwe vp member mnaweza kuni Pm namba yake walau mwanenu nikae au kuna mtu anataarifa zake au alisoma nae?

Mkuu nitakuwa nae next month hapa Dom wakati wa kikao cha bunge,nitampa taarifa,japo uwa si mtu wa utani sana anakawaida ya kutochonga sana? Ila ni kati wa wabunge makini sana wa CHADEMA na Lusinde wa CCM aliwai kumtokea akapigwa chini mbele yangu....
 
Aise! Kumbe huwa wanatongozana huko eh?
 
Mkuu nitakuwa nae next month hapa Dom wakati wa kikao cha bunge,nitampa taarifa,japo uwa si mtu wa utani sana anakawaida ya kutochonga sana? Ila ni kati wa wabunge makini sana wa CHADEMA na Lusinde wa CCM aliwai kumtokea akapigwa chini mbele yangu....

kumbe huyu mtoto wanamtongoza wengi sana?da kumbe nisingeweza kama hadi lusinde?mimi basi.
 
Mume wa Esther anaitwa Prof Mkami nae ni Tarime line sasa ukimangamanga unakula panga shaaa..wanasihi maeneo ya Goba..
 
Mume wa Esther anaitwa Prof Mkami nae ni Tarime line sasa ukimangamanga unakula panga shaaa..wanasihi maeneo ya Goba..

mbona anaonekana bado mdogo uyo jamaa alimchukua bado hakiwa anasoma shahada ya kwanza nini?
 
kwani ulishindwa kumjulisha tu kuwa ni mke wa mtu hadi uweke maneno kibao kama umekulia uswahilini?

mwenye busara anaanza kwa kuulizia status ndo atangaze nia, sasa kama unakurupuka kutangaza nia ukitegemea na status utailewa mbelembele ni hatari. so lazima aambiwe kwa msisitizo, au huko kwenu uzunguni ni kosa???
 
Nakuomba ndg yangu, kuwa makini na hawa wanawake wazuri. Watakuua kwa presha. Achana nao!
 
mwenye busara anaanza kwa kuulizia status ndo atangaze nia, sasa kama unakurupuka kutangaza nia ukitegemea na status utailewa mbelembele ni hatari. so lazima aambiwe kwa msisitizo, au huko kwenu uzunguni ni kosa???

nilikuwa najua bado ajaolewa ndomaana nikafanya ivi lakini hata we mwenyewe siunamjua ester unaweza mthaminisha miaka mingapi?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom