Ester Bulaya ndani ya Loliondo!!

Huu ni upuuzi! Ameonekana Samunge so what? Au nini cha ajabu? Mbona yeye so wakwanza! This is house of great thinkers! Kama huna cha kupost nenda kamsaidie mkeo kuosha vyombo!

kaka na wewe miongoni mwa samungists ninii. Nikipata nauli ntakuja
 
ni mbunge wa ccm viti maalumu kabla alikuwa mwandishi wa gazeti la uhuru but hana umaarufu wowote ni kati ya wale wanaosemwa na dk.kashilila (katibu wa bunge) kuwa ameshindwa kutumia laptop aliyopewa!
 
who the hell is she? kwa kweli mimi sijawahi kumsikia ni mbunge wa bunge la chuo gani?
 
ni mbunge viti maalumu ccm kabla alikua mandishi a habari gazeti la uhuru hana umaarufu wowote inawezekana ni wale aliosemawa na katibu wa bunge (dk.kashishilah) kuwa walipea laptop wakawa wanazimagia chai na pombe
 
Duu ma harufu ndo nini? ana harufu au!? au labda unamaanisha MAARUFU.

Mkuu Avatar yako hii inaa ujumbe mzito. Nadhani mwezi ujao Watanzania tutaanza kufanya kama avatar ya SharoBabu inavyoonyesha nadhani kwa kudra za mwenyezi mungu inaweza kusaidia magari yakatembea manake hivi sasa petrol station haiendeki!!!
 
Yule mbunge maharufu bulaya ameonekana mitaa ya samunge


Kiswahili kina maana nyingi; huenda jamaa anamfahamu huyo mbunge huwa ana harufu na ndio maana akasema mbunge maharufu: Kagamba kadogo si utusaidie kwa nini unatuacha wanaJF tuangamie kwa fikira kwa kukosa maarifa?
 
Yule mbunge maharufu bulaya ameonekana mitaa ya samunge

mimi nahisi unamtambulisha au unajitambulisha kuwa na nina ya kugombea ubunge na wala sio swala la kwenda loliondo. Mshajua JF ni tiba ya siasa na ww ndo ukaleta jina lako uangalie upepo ukoje, mkuu angaliaaa.......
 
Back
Top Bottom