Ero link

Opticf

Member
Oct 4, 2012
62
4
Waliofanya oral interview pale erolink kwa ajir ya vodacom customer care vp wameita kuanza training?
 
nimefungua kwa madoido yote nikijua Erotica katangaza nafasi za kazi...

wekeni vizuri heading za mambo muhimu!
 
Last edited by a moderator:
Aaaa erolink again loo
hawa watu hata sielewi
nitakupa mfano mmoja tu kuna wakati nafikiri mwezi wa pili mwaka huu waliniita interview written na pratical interview
kampuni ilikuwa NBC nikapiga hawakuniita awamu ya pili kifupi wakanipiga chini labda alama hazikutosha
kama miezi miwili baadae mabest akaitwa kufanya interview basi kwa bahati maswali yao nilitoka nayo nilitumia ujanja kutoka nayo nikampa my best akaenda kufanya
maswali yaleyale hata hayajabadilishwa kitu loo
si tukajua ataitwa ya pili loo kweli wakampigia simu kumwambia aende oral interview kajiandaa jioni tena wakampigia simu kumwambia"samahani interview ya kesho imeahirishwa mpaka tukupigie simu"
akasubiri mpaka kesho ha ha na bado hajaitwa
hao ndo EROLINK hata sijawaelewa labda majobseeker wengi
 
Mkuu mm nilifanya tar 20 sept 2012 km vp wacheck wengne km unawafaham ambao nao walifanya oral ili tujue mambo yanavyoenda
 
Mi mwenyewe nilifanya hapo tarehe 20sept hadi leo kimya lol.... Ama kweli kazi hizi.
 
Sasa hawa ina maana wanapunguza mlundikano wa cv kwao ndo maana wanafanya hv au wanatafuta nin mbna cwaelew. Aggrey kuna m2 mwingne aliyefanya interview pale na unamfaham?
 
Waliofanya oral interview pale erolink kwa ajir ya vodacom customer care vp wameita kuanza training?
Watawaita tuu wala msijali hususan huko voda maana kuna watu wengi wameacha kaz hii ni kutokana na rate zao za malipo kupungua kwa kias kikubwa
 
Ngoja tusubiri may be kuna kipind ambacho wanataka watu waanze mvumilivu hula mbivu, tukomae tu
 
Duh Erolink hakika tunahitaji sheria thabiti za kazi! wa TZ tujitahidi tupate katiba mpya swafi au Ondoeni hii serikali madarakani 2015. Erolink dah mungu atusaidie tu
 
Mwelekeo ndio huo!!Makampuni mengi sana makubwa yana outsource operation zao nyingi hasa za customer care call centers na hata Maitanance,angalia NBC,Vodacom,Tigo,Airtel wote wanafuata sera hiyo!ukiangalia makampouni wanawabana hao waajiri wapunguze sana bei wakati wa tendering,ili wapate kazi,watakaoumia ni waajiriwa,maana mishahara itakuwa chini sana,hakuna bima ya afya wala nini,mshahara kavu kavu!huko ndiko tuendako.....
 
Sasa hawa ina maana wanapunguza mlundikano wa cv kwao ndo maana wanafanya hv au wanatafuta nin mbna cwaelew. Aggrey kuna m2 mwingne aliyefanya interview pale na unamfaham?

Ndiyo kuna jamaa yangu tulifanya naye pia ila naye bado hawajamwita sijui ni vipi hawa jamaa!
 
Powa Aggrey nami niko na jamaa bado hawajamuita kwahyo ngoja tusubili tu
 
Back
Top Bottom