Erickb52 kutua jijini Mwanza

Hv jamani Rutta wangu kawakosea nini wewe na Kundi lako?
Au kwa kuwa mnamzidi kipato?
Na mtajibeba mwaka huu.
Hatuachani Ng'oo.
Hapo kwenye bold umeongea Madame B
Unajua kila mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake
 
Last edited by a moderator:
Leo mmemuamulia kajificha wapi lakini...huwa akiniona niko peke yangu maneno mengiiiiiiiii sasa leo kapatikana..
Yaani hapa nilipo nimecheka mpaka nimepaliwa whisky.........
St. Paka Mweusi acha kunitamanisha aisee maana hapa natamani kula kona ila naogopa tu sina kampani Dah vindofu vya ijumaa huwa vimetulia sana aisee lol
Hebu gonga cheers hapa
Ndovu Baridii.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom