Erick Shigongo atoa msaada wa gari la wagonjwa Sengerema!

Laiser James

Member
Dec 5, 2013
77
8
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kujiandaa kugombea nafasi ya kisiasa, mkurugenzi wa kampuni ya Gkobal publishers Ltd Erick Shigongo leo amekabidhi gari aina ya Ambulance maalum kwa kubebea wagonjwa kwa wananchi wa Sengerema ikiwa ni ahadi aliyowahi kuitoa.

Pamoja na kukabidhi gari hilo lakini pia alikabidhi kwa baadhi ya vijiji miradi ya visima vya maji alivyochimba ikiwa pia ni ahadi yake ya kuchimba kisima cha maji kwa kila kijiji ili kupunguza adha ya maji kwa kina Mama ambao wamekua wakitumia muda mwingi kufuata maji.

Sourc; Star tv habari.
 
Eric has always been a philantropic!! Big up Eric and may God bless you!!!
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kujiandaa kugombea nafasi ya kisiasa, mkurugenzi wa kampuni ya Gkobal publishers Ltd Erick Shigongo leo amekabidhi gari aina ya Ambulance maalum kwa kubebea wagonjwa kwa wananchi wa Sengerema ikiwa ni ahadi aliyowahi kuitoa.

Pamoja na kukabidhi gari hilo lakini pia alikabidhi kwa baadhi ya vijiji miradi ya visima vya maji alivyochimba ikiwa pia ni ahadi yake ya kuchimba kisima cha maji kwa kila kijiji ili kupunguza adha ya maji kwa kina Mama ambao wamekua wakitumia muda mwingi kufuata maji.

Sourc; Star tv habari.
 
Mwambieni atubu dhambi zake zote ndo afikirie kutembeza bakuli lake la kura kwa Wanabuchosa.
He is among Mabina and co.
Muulizeni
1 ) kilichomkimbiza kwao mwishoni mwa miaka ya 90 ni nini
2) alianzisha dispensary miaka ya 90s target yake ilikua ni kutibu watu gani kama sio majeruhi wake walioumia kwenye matukio ya kijambazi
3) kwa nn alianzisha zahanati huku ajifanya kuwa ni daktari bingwa wakati tunajua fika kuwa alikimbia mafunzo ya unesi kule Tabora baada ya kuwa assigned kuosha wakoma mwishoni mwa miaka ya 80s
4) anakumbuka ni vijana wangapi amewaangamiza kwa kuwa testa wa madawa ya kulevya
5) je, kuhusu mauaji ya mfanyabiashara aliyekuwa mriki wa meri kule mwanza?
6) kuhusu kupoka vyeti vya mtu, hii scandal aliimaliza vp?
MUULIZENI, Anayo mengi ya kujibu hata kuhusu elimu yake aliptaptaje mpaka hapo alipo!?
 
Maswali magumu sana haya
 
Back
Top Bottom