Erick Shigongo atiwa kizuizini

Kumbe jamaa passport aliyonayo ni ya kidilomasia na amepewa na Museveni mwenyewe na ni balozi wake! Baada ya kuinyang'anya akamshinikiza hampi passport mpaka afanye show next sunday,

Aibu sana kwa sanaa yetu nchini! Chamilion ameshapaa asubuhi leo na alikuwa show ya MTN jana ya 200,000 USD! Wanasheria walishafika hapa tz tangu jana kusimamia maslahi yake!

Sasa mtu anayelipwa dolla 200,000 kama ni kweli anaweza kufanya utapeli wa dolla 3,500 kweli?????

Shigongo akubali hiyo ni hasara katika biashara, azidishe 3,500$ * 1,600 = ???? ndiyo hasara yake arudi bongo ajifunze na aache ufa.la siku nyingine.
 
aisee..,bila shaka magazeti yake yata muonyesha jinsi alivyobebwa tanganyika jek kama hayana upendeleo,.
kWELI MKUU MANAKE THIS GUY BWANAHAS BEEEN MAKING HIS LIVING THROUGH HUMAN TRAGEDIES. HOPE HE TOO SHOULD ADD HIS OWN SCANDLE IN HIS SCANDALOUS ORIENTED VIGAZET.
 
aLIJUA LABDA ANADEAL NA WASANII WA BONGO ANAOWALIPA NA KUWADHARIRISHA KILA UCHAO KWENYE MAGAZETI YAKE. SIO WOTE NI WASANII WA KIWANGO CHA MABWEPANDE, CHEZEA CAMEREON WEWE!
 
Hivi yule bondia aliyegoma si lilikua tamasha hilihili? Ya Mungu mengi, anaanza kurudisha fedha alizozipata kwa dhuluma!
 
Lkn YN mbona hujawa too precise,,kawekwa kizuizini na nani,,serikali ya tz ama Basata? Na kosa lake hasa lililopelekea hayo ni lipi,,naona umemix mix mambo tu mara chameleone,passport,,diplomatic

Alikamatwa na polisi wa tz kwa kushirikia na waambata wa TISS, na kuzuiliwa kwa siku nzima jana huku akihojiwa zaidi juu ya udharirishaji aliomfanyia Chamilion na kundi lake!
 
Shigongo jembe,tatizo wabongo mna wivu sana.maaamazenu.
taarifa zilizonifikia punde zinatanabaisha kuwa mmiliki wa magazeti ya udaku nchini tz ndugu erick shigongo wawekwa kizuizini,

haijafahamika nini tatizo hasa, ila nitawajuza punde tu nipatapo habari kamili!

Updates:

Kamnyanganya chamelione passport,

tatizo jamaa ana diplomacy passport!

Issue imeingiliwa na museven mwenyewe! Bado anashikiliwa na
anahojiwa na usalama.

Wanasema yuko interogation kwao!!

Wameanza convasation saa 7 zilizopita mpaka dakika hii!

Ipo video ingieni kwenye page ya fb ya "walter rumisha"
 
kwa kumteka jose chameleone,yaani amejchukulia sheria mkononi,inasemekana almtuma sharabaro flan ivi kampala kuingia mkataba na msanii uyo,uyo btoz akakutana na matozy zaid yake wakamdanganya kwamba wao ni wawakilish wa jose kwaiyo akawapa mpunga kama dola elfu 3 iv,da ntaendelea baadae
Hii ndio STREET UNIVERSITY anayoifundisha mwenyewe. kama vipi akamuulize Prof. Jay aliyeimba. ALIYENUNUA SAA KATOA HELA YA BANDIA NA ALIYETOA HELA KAPEWA SAA BANDIA.
 
Kwa maelezo ya Chameleone kwenye video clip, Shigongo mwenyewe na meneja wake Abdallah Mrisho wameingia chaka. Wamemkabidhi mtu anayejiita meneja wa Chameleone kitita cha dola 3500 wakati siye.

Shigongo analeta ujanja wa kisukuma mjini hadi Kampala sasa amekutana na waliozaliwa na ujanja wao.
ukiskia THE HUNTER HAS BECOME THE HUNTED, ndio hii.....
 
Back
Top Bottom