Erick Shigongo atiwa kizuizini

kwa kumteka jose chameleone,yaani amejchukulia sheria mkononi,inasemekana almtuma sharabaro flan ivi kampala kuingia mkataba na msanii uyo,uyo btoz akakutana na matozy zaid yake wakamdanganya kwamba wao ni wawakilish wa jose kwaiyo akawapa mpunga kama dola elfu 3 iv,da ntaendelea baadae

Dah!mbona hii imekaa kama zile riwaya zake anazotuandikiaga? Au ni promo flan, hebu watu walioko kwenye sosi plse wafunguke
 
Ila duniani kuna watu wana mambo as if wanaongeaga na mungu direct kama wanavyoongeaga na familia zao!
 
Sasa wewe rumande na kizuwizini tofauti yake nini? mimi naona yote sawa tu.

tofauti ni kwamba kizuizini ni kushikiliwa lakini zi lazima polisi - mara nyingi nyumbani au kijijini/ mtaani n.k. na rumande ni ndani ya cell ya polisi.
 
huyu jamaa sasa anajiona naye ni godfader kibongo bongo,kuna jamaa yangu aliibiwa vifaa vya mamilioni kwenye hotel yake pale afrika sana na jamaa aliposhtaki polis arudishiwe mali zake,huyu shigongo aliibuka polis obay kuwatoa staff wake ambao mshkaji aliwahisi kumuibia,na ndugu yangu anasema kabisa kwamba shigongo alipofika kituoni obay alimfuata na kumwambia live kwamba nenda popote mali zako sirudishi na huwezi kufanya lolote,tena alitamba hivyo naskia mbele ya mapolis.picha ni kama vile shigongo anawatuma wale staff wapige sachi vyumba vya wageni pale na kuiba.tunakusanya data tumtie mikononi
hapa ndo mtasema tuwe na imani na vyombo vyetu kweli?
 
Back
Top Bottom