Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Au waandike INATISHA BABA MZAZI WA SHIGONGO AFA MASKINI!
inawezekana diamond mwenyewe anafurahia cheap popularity huwezi juaShigongo achukue nafasi hii 'kujifunza'
hupaswi shabikia ugonjwa wa mtu wa kifo cha mtu
'anavyomfanyia Diamond now sio utu'
mbaya zaidi ni uzushi kuliko ukweli
Na wewe ni member nini? Mnajuana!
Au waandike INATISHA BABA MZAZI WA SHIGONGO AFA MASKINI!
Hata kama angekuwa tajiri kufa ni lazima.pole sana sir.shigongo na hiko kilio chako ni kama tairi la gari linapo pasuka safarini.mungu atakupa nguvu uendelee na kazi zako
acha kujipendekeza u'sir kapewa lini??
acha kujipendekeza u'sir kapewa lini??
acha kujipendekeza u'sir kapewa lini??
Daah Pole Eric pesa imeshindwa kumuokoa baba yako, nilisikia kuwa ulimpeleka India kwa ajili ya matibabu lakini imeshindikana ukamrudisha nchini akiwa bado hana afya njema, umepigana sana kuokoa maisha yake lakini Mungu amempenda zaidi, pole.
inawezekana diamond mwenyewe anafurahia cheap popularity huwezi jua
kama ningekuwa mfalme wa uingereza aisee shigongo ningempa cheo cha usir kwasababu wa ujasili wake wa kuruhusu kuchapisha ukweli kwenye magazeti yake ili kumtetea mnyonge;kama ningekuwa raisi wa hii nchi ningetuma salamu rambirambi ,jamani sio kama najipendekeza kwake ila ni mawazo tu jamani!