Eric shigongo-a saint & ghost

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Dah uwa nafuatiliaga sana hadithi za huyu jamaa,ila hii hadithi ya A SAINT & GHOST ni balaa,jamaa anaweza sana duh,Big up

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
jamaa anajua,ukianza unatamani umalize,unasoma ukiwa na shauku
 
Dah uwa nafuatiliaga sana hadithi za huyu jamaa,ila hii hadithi ya A SAINT & GHOST ni balaa,jamaa anaweza sana duh,Big up

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hujawajua watunzi wa kweli wewe.
Huyo jamaa anatiririka na hadithi km anahadithia mchezo wa kihindi
Watunzi ni wale wanojua kufinyanga lugha.
 
siku hizi wamebadilisha mtindo wanakumwagia tindikali tu ukapofuke mbele huko!! na sipo tayar kuona dada angu unapofuka kwa ajili ya hao wana fursa

Asante kwa kunipenda mdogo wangu Brown ad, huyu Deo Makompresa mbaya sana.
 
Last edited by a moderator:
Dah uwa nafuatiliaga sana hadithi za huyu jamaa,ila hii hadithi ya A SAINT & GHOST ni balaa,jamaa anaweza sana duh,Big up

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

haaaa.. mimi nildhani yeye ndo saint na pia ni ghost.
 
Kwangu mimi Shigongo ni mtoto sana kwa B.R.Mtobwa na Hussein Tuwa usisahau Will Gamba.!!!
 
Na kina Mohamed Said, na Shafi Adam.

Uyo Shigongo anatunga au anatoa story za kihindi na kitoto

Story za Shigongo: "...majambazi wakamwambia Innocent 'piga magoti na sali sala zako za mwisho!' huku wamemuwekea bastola kichwani. Wakanza kuhesabu, moja, mbili, taa... itaendelea wiki ijayo."

Kuna mtu anaitwa Faki A. Faki aisee.
 
Story za Shigongo lazima marekani iwepo. Na kizungu na tafsiri yake. Lol.

Faki nimesoma kazi zake
 
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.

Wahanga walisema kuwa paka ana roho saba. Hivyo basi ukitaka kumuua ni mpaka roho zote zizimike.

Kwa hoja za kijinga kama hizi naanza kuamini kuwa roho sita za huyu paka CCM zishazima siku nyingi tu, na sasa hata hiyo roho ya saba iko kwenye hati hati ya kuzimika.
 
Story za Shigongo: "...majambazi wakamwambia Innocent 'piga magoti na sali sala zako za mwisho!' huku wamemuwekea bastola kichwani. Wakanza kuhesabu, moja, mbili, taa... itaendelea wiki ijayo."

Kuna mtu anaitwa Faki A. Faki aisee.

Teh teh teh...nimemkumbuka Basket mouth anavyoelezea movie za Nigeria,ndo kama huyo shimwongo.
 
Back
Top Bottom