ERB acheni njaa

Acha uchoyo, kajisajili, au unadhani wenzio watakula wapi?????


Urudi kufanya nini wakati tumeshakuelewa....

Halafu hii biashara ya kujisajili kwenye mibodi inakeraga sana asee.

Yaani shule nikate mimi, kufaulu nifaulu mimi..... sitambuliki mpaka bodi inisajili......agrrrrrr
 
Ndugu,

Hatukai kila kitu ila maisha yamepanda sana sasa unakuta hata lengo halitimii kwakua wanaosimamia ni Wababaishaji na wanaosimamiwa nao wanababaisha,

Kwanza si kweli Kama wakikukata wanatafuta Mtu mwingine Kwani Budget iko kwa kila member and they still encouraging new members to join as many as they can,

Kwahiyo,suala la kukata Pesa tunataka kujua Zinakwenda wapi na mbona siku za nyuma waliwakata na wakasubmit Report hawajawaongezea mpaka Leo na makosa sio ya Trainee ni ya Ma supervisors, na ujue Hawa supervisors wengine wako busy na wengine ni wale wanaopenda Kuabudiwa na hata ukisema ubadilishiwe supervisor labda utafute company au sehemu nyingine kitu ambacho bado ni Tatizo kupata sehemu ya kufanyia SEAP.

Kwahiyo hili,waohawalioni Bali wanajua kukata fedha tu na sio kuweka utaratibu mzuri wa kujua km Trainee anafanya vizuri na anagain kitu wao wanataka report tu,


Watajitokeza humu kudefend hili kwa kusema oh wengi hawasubmit report ?

Je mnajua Kama tatizo nisupervisors...

??????

Swali dogo tu, kwani hao masupervisors huwa wanalipwa kwa kusoma na kusahihishe reports za trainees??
 
Halafu mie baada ya pasaka tu ndio nafata trainee certificate,hata hizo riport sijajua utaratibu wake wa kusubmit...msaada plz niwe updated jamani!!!
wakati unaenda kuchukua kile cheti chako ERB cha GRADUATE ENGINEER pale watakupa utaratibu mzima wa kujiunga na SEAP
vitu vya muhimu ni vyeti vyako original yaani academics certificate kwa ajili ya kuverify halafu kwa maelezo zaidi pitia hii link
Downloads
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom