Erasto Tumbo atangaza nia ya kugombea uenyekiti wa mkoa wa Shinyanga

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Yule bingwa wa sanaa za siasa , aliyewahi lkumpindua cheyo uenyekiti wa chama cha UDP, amabye amewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani shinyanga ambaye hakuweza kuwafanyia chcochote wananchi wake na ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa habari na uenezi wa chadema ndugu Erasto tumbo ametangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa mkoa wa shinyanga.
Alionekana bar moja maarufu mjini shinyanga akiwa na kundi la vijana kama sitta hivi wakiwa kwenye mchakato wa kutengeneza kambi ili afanikishe zoezi hilo, alinukuliwa akisema kuwa kama atafanikiwa kupata hiyo nafasi itakuwa ni hatua mhimu sana kwake kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015 maana anatarajia kugombea ubunge jimbo la SHINYANGA mjini.
Kama atafanikiwa kugombea uenyekiti wa chadema mkoani shinyanga hii itakuwa ni mara yake ya pili kufanya hivyo maana mwaka juzi alijaribu kupambana na marehemu shelembi ambapo tumbo aliishia kura zisizozidi tatu.

Udadisi wa mwandishi wa habari hizi unaonyesha kuwa kama Tumbo hakubaliki alikozaliwa itawezekenaje aje agombee mjini? pia Kuna taarifa kuwa katika kujiandaa huko ameanza utaratibu wa kununua nyumba maeneo ya ndala na ameshaanza taratibu za kurudiana na mwana,ke aliyempa MIMBA na kumtelekeza ambaye anaishi hapa shinyanga mjini.

source: Habari za kiinteligensia
 
Kazi ya Ukurugenzi wa Habari na Uenezi hajaitenda vema. Itakuwa si jambo la busara kumwongezea wajibu. Hukishindwa madogo, makubwa utayawezaje?
 
sema nina kusdio gani acha u bibi kiroboto wewe
Asante kwa habari lakini umeongea kwa mtazamo hasi sana kwa Erasto kiasi kwamba inaonekana ulikuwa au una kusudio fulani zaidi ya kutuhabarisha.
 
Tunashukuru kwa taarifa lakini the way ulivyowasilisha taarifa inaonekana kama vile hutaki apate huo Uenyekiti maana umeongelea mabaya yake tuuuuuuu bila hata kuweka mazuri yake.
 
Mleta mada una lako jambo hapa,kwann umseme tuu pasipo kuzungumzia mazuri mengine?
 
Naona mtoa mada mwenyewe keshaingia mitini, au anatafakari kwani ni kweli kamshambulia tu jamaa hakuna mazuri yake ata moja??
 
Wiilaya ya ya meatu iko mkoa gani? jimbo la Kisesa liko wilaya ya Meatu mkoani Shinyanga , dada acha kukurupuka kama hujui keep quite unaonyesha uzembe kufikiria na mgando wa mawazo

Jamani sijaingia mitini nasubiri mchangie, jamaa yule hafai hata kuwa balozi wa Nyumba kumi

Jimbo la kisesa mkoani Shinyanga?Shinyanga hakuna jimbo la kisesa?
 
Wiilaya ya ya meatu iko mkoa gani? jimbo la Kisesa liko wilaya ya Meatu mkoani Shinyanga , dada acha kukurupuka kama hujui keep quite unaonyesha uzembe kufikiria na mgando wa mawazo

Jamani sijaingia mitini nasubiri mchangie, jamaa yule hafai hata kuwa balozi wa Nyumba kumi
MAGU MWANZA PIA KUNA KISESA,KUMBE MEATU KUNA JIMbo la kisesa
 
Wewe kamati kuu una matatizo,unasema Erasto hafai toa anaefaa.mimi na mme wangu hatuko Chadema
 
Jamaa bado yuko shinyanga na ninasikia kafikia kwa mama mkwe wake ambaye alimtelekeza mke na mtoto na jana usiku alikuwa na kikao kizito na kasonzo mwana UDP mwenzie ambaye ni yeye amebaki kwenye chama, ameanza kuwatuhumu baadhi ya wana kambi wenzie ambao anadai wamevujisha hii siri
karibu shinyanga bwana Tumbo ili uanze kulea na familia yako uliyoitelekeza, pia na wanshinyanga mnatakiwa muwe makini sana maana yeye ni bingwa wa kuchukua wake za watu wana chadema kazi mnayo
 
Huna haja ya kumpigia debe aukumkandia ni wajibu wa wanashinyanga kuchagua kiongozi atakayewafaa, si mabwege hata kidogo watachagua jembe lingine kama Shelembi na ccm shinyanga itazidi kujinyea
 
Jamaa bado yuko shinyanga na ninasikia kafikia kwa mama mkwe wake ambaye alimtelekeza mke na mtoto na jana usiku alikuwa na kikao kizito na kasonzo mwana UDP mwenzie ambaye ni yeye amebaki kwenye chama, ameanza kuwatuhumu baadhi ya wana kambi wenzie ambao anadai wamevujisha hii siri
karibu shinyanga bwana Tumbo ili uanze kulea na familia yako uliyoitelekeza, pia na wanshinyanga mnatakiwa muwe makini sana maana yeye ni bingwa wa kuchukua wake za watu wana chadema kazi mnayo
Acha kumchafua Tumbo,wivu unakusumbua
 
Back
Top Bottom