Equity bank tanzania limited

kutuma inakubali lkn no reply mtujuze wadau kama ndo hivyo watu wameshaitwa maana naona ukarabati umekamilika
 
EQUITY BANK imeanza kuoperate Arusha, wapo jengo la Nyari....karibu na Friends Conner
 
Jamani hawa watu wa EQUITY BANK ni wakombozi wa wanyonge, Kenya wamefanya kazi kubwa kwa kuwakomboa wajasiliamali tunawakalibisha TZ hasa ARUSHA!!!!!!!!
sorry i could be happy ,if i could have the right email because i try alot to send my application but fail,they say unrecognise email.help me please ASAP
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom