Equity bank huajiri baada ya mda gani baada ya kufanya enterview zao

cpb

Senior Member
Nov 1, 2014
156
87
Equity bank huajiri baada ya mda gani baada ya kufanya enterview zao
 
Nimeckia kunatetesi kua wanasubiri branch ya morogoro na tegeta zifunguliwe ndo wataita watu.
 
mtawaita lini?

huu mwezi wa january hautaisha hawajaita position za bank officer so be cool jamani wataita japo ni kweli wamekaa long sana enterview watu wamefanya end of november
 
Hizo updates umezitoa wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom