Epuka Mazungumzo "Washrooms"....

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
John aliingia kwenye "washrooms" za airport muda mfupi kabla ya kupanda ndege. Akiwa chooni akasikia sauti toka chumba jirani na alipokuwa:

Sauti: Hi!

John akajibu: Hi!

Sauti: Uko wapi?

John: Washroom of course.

Sauti: Unafanya nini huko?

John: (Kwa sauti ya aibu) Najisaidia kama wewe.

Sauti: Fred, nitakupigia baadae, kuna jamaa anajibu hapa maswali ninayokuuliza.
 
Teh teh nimeipenda hiyo alafu huwa ni kitu kinachotokea mara kwa mara hata kama ukiwa umekaa na mtu akipokea sim unawezajikuta unamjibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom