donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,042
- 21,517
ndio wakuu,bila kupoteza mda napenda kufahamishwa zaidi juu ya hii kitu ya epiq nation. kuna ma discount kibao kwenye places kama samkisamaki etc. ila nikavutiwa kusikia na kitu cha bills bure. sasa unaanzaje tu kwenda pale kusema mimi member wa epiq niachen niingie bure