Epical

Renatus Rwehabura

New Member
Aug 5, 2012
1
0
Jamani waja JF wenzangu nataka kuwauliza wangapi wanajua system inayoitwa epical ambayo imepitishwa hivi karibuni ku process malipo yote ambayo yako chini ya TAMISEMI? hii ni system ambayo imeleta usumbufu hasa kwa Wilaya ambazo bado hazijafikiwa na umeme wa uhakuka. Hivi nataka niulize takribani asilimia 16 tu ndo wako na umeme wa uhakika if am not miss taken, utaamuaje ku intoduce system electronic kwa wilaya kama Nkasi ambayo chama tawala kinawapa ahadi zisizotekelezeka, tutaleta umeme baada ya mwezi, Mwaka, hadi miaka sasa

Ushauri wangu kama hii system wangeamua kuitumia japo sijaifahamu vizuri wangeanza na baadhi ya Mikoa hasa yenye umeme wa uhakika, ili waweze kubaini baadhi ya mapungufu, na pia kupima ufanisi wake ndio wa introduce nchi nzima.

Badala ya kuianzisha kila sehemu matokeo yake hata mafuta ya gari la kumbeba mjamzito huko kijijini yanashindwa kupatikana kwa muda mwafaka, hivi kweli ndo tunajenga nchi au tunabomoa?

Naomba mchango wako
Renatus Rwehabura
 
tatizo sio system ni capacity wanayoyumia wameomba 128kbps kutoka ttcl hio chache sana ku run application zote ikiwemo mishahara wanatakiwa wa upgrade bandwidth atleast 256kbps inaweza kuwaokoa lakini sio 128kbps ila kwa umeme sina tatizo generator si zipo kama unaona hakuna umeme wa uhakika na ho system ni nzuri ili kudhibiti ubadhirifu wa fedha zetu za kod1
 
Inaitwa epicor ila bahati mbaya umeiweka hapa kwenye jukwaa la malavidavi, hutapata michango. Humu kila mtu na wake, hawana muda wa kujadili issue kama hizi
 
Mkuu we inaonekana ni yule Profesor wa The comedy, hiyo mada huku sio pake
 
Jamani waja JF wenzangu nataka kuwauliza wangapi wanajua system inayoitwa epical ambayo imepitishwa hivi karibuni ku process malipo yote ambayo yako chini ya TAMISEMI? hii ni system ambayo imeleta usumbufu hasa kwa Wilaya ambazo bado hazijafikiwa na umeme wa uhakuka. Hivi nataka niulize takribani asilimia 16 tu ndo wako na umeme wa uhakika if am not miss taken, utaamuaje ku intoduce system electronic kwa wilaya kama Nkasi ambayo chama tawala kinawapa ahadi zisizotekelezeka, tutaleta umeme baada ya mwezi, Mwaka, hadi miaka sasa

Ushauri wangu kama hii system wangeamua kuitumia japo sijaifahamu vizuri wangeanza na baadhi ya Mikoa hasa yenye umeme wa uhakika, ili waweze kubaini baadhi ya mapungufu, na pia kupima ufanisi wake ndio wa introduce nchi nzima.

Badala ya kuianzisha kila sehemu matokeo yake hata mafuta ya gari la kumbeba mjamzito huko kijijini yanashindwa kupatikana kwa muda mwafaka, hivi kweli ndo tunajenga nchi au tunabomoa?

Naomba mchango wako
Renatus Rwehabura

Wewe unatabia zakifisadi. Na hii system ndio imearibu mipango yako. Pole sana.
 
Back
Top Bottom