usemayo ni kwel kuna malipo yanatakiwa kufanywa kwa wananch flani so imekubalika hyo system isitumike coz itachukua mwaka kuyakamilisha!
no siyo kwa nchi nzima mkuu, ni eneo ninalolifaham miyeItakuwa ni habari njema kama tukiachana na system hiyo ambayo kiukweli haijafanya vizuri tokea ianze kutumika!!!
Mimi hayo mambo ya epicor9 siyaelewi hata kidogo, naamini kuwa hazina haina kitu wanatumia tu mfumo kujitetea.Katika hali kama hii akipita mchonganishi akasema hazina nyeupe watu wataamini kumbe tatizo ni mfumo huo.
Ila kabla ya kui phrase out hiyo ya zamani, wangezitumia parallel ya zamani na mpya then mwishoni wangejua mapungufu...