Ephraim Mafuru wa Vodacom wapi siku hizi?

Ni kweli Mafuru hayuko Vodacom amekuwa an entrepreneur

Nakuaminia kaka...

Mimi ni yuleyuleee tuliyesoma wote kidato kimoja...(Cha MBA )
 
mwamvita makamba ndiye aliyechafua hali ya hewa vodacom kazi za mafuru zote anafanya yeye kwa vile rostam na rafiki mkubwa wa makamba..maskini kaka wa watu...
 
Kafungua kibanda cha kuuza vocha kongowe mbele ya Charambe kule mbagala kizuiani. kinaitwa MFURU TRADERS
 
Mafuru yupo na ni mjasiliamali mzuri sana.......alikuwa anajiandaa wakati anafanya kazi tena hizo za juu maana kitanzania ukiwa juu kazi za fitna na siasa uwe plan B...hali hewa ikichafuka unajua pa kuanzia!!
Soon atarudi ulingoni nina hakika na hili.........mtasikia
 
Nasikia yuko TTCL ila sijui kwa nafasi gani?
 
Back
Top Bottom