Ephraim kibonde kapotoka katika kunena!!!!!

Kibende ni nani mpaka aseme madai hayo au mengine yoyote si ya msingi ninavyojua ni kwamba si wajibu wa mtangazaji ku judge kazi yake ni ku report tu kazi ya ku judge atuachie wasikilizaji. Mimi binafsi namuona mpuuzi tu hasa anavyobana sauti.
 
Acheni habari za kibonde, kwani yeye nani? Acheni kujaza thread kwa kujadili wajinga, kuna thread kibao zinamjadili kibonde changieni huko.
 
tumewachoka na habar zenu au mumetumwa nn? Kila saa kibonde, hakuna issue nyingine za kujadili.

Hivi wewe hilo alilolifanya linakufurahisha?Inaonekana nawe una 4 ya 33 ambayo nayo uliipata kwa msaada wa macho yako kusomba hicho kidogo ulichokipata toka kwa aliekuwa amekaa jirani yako.
Tutaendelea kumzungumzia kwa sasa kwani kila kitu kina wakati wake na tutakapoona kuwa tumeridhika na hatua hii tutahamia ile itakayokuwa iko sokoni kwa wakati huo.
 
crap! Mbona unaongea kama mzaramo. Sawa wewe ulipata div 1 point 7. Tumechoka na kibonde, mliyomwona wa kumzungumzia ni kibonde tu! Mbona mnampa umaharufu usio kuwa wa maana.
 
Aaaaaah,nimekuta mjadala hapa mabibo kumbe kesho anafuatwa kibonde na clouds fm,kazi kweli kweli someni pepa zimekaribia hahaha
 
Mtu yeyote anaesikiliza porojo za huyu mpumbavu, basi yeye na wewe wote mpo kwenye same category, na sitarajii tena kusikia thread za Kibonde hapa. kwani mnalazimishwa kusikiliza hiyo redio? mimi binafsi hata clouds tv sijaiprogram kwenye tv yangu. redio imejaa machoko sasa na wewe ukiwa mpenzi wa hiyo redio tukuitaje? kumbuka ndege wafananao huruka pamoja.
 
kibonde, Tafsiri rahisi kibonde manaake rahisi si lolote ssi chochote msishangaae mambo yake tatizo ni maana ya jina lake
 
kama unataka maendeleo basi sikiliza mawazo mbadala ya mwenzako na heshimu maoni yake hata kama kapotoka ni haki yake ya msingi kujieleza na yuko huru

Acheni majungu
 
He is a master of intimidation you are the victim of intimidation get control of ur self.
In this world there will always be people with different opinion you of all people i though you should know that.
 
too proud,too proud,I Wanna kill right now,I,I wanna kill right now.

Kila kitu we rais,utadhani rais ni wa clouds,kama rais hata kwetu rais, Kibonde anatukana watu ovyo redioni,hatari iliyo mbeleni haoni,hana akili kichwani,au anavyosambaza ngoma ovyo mtaani anadhani hatumuoni.Redio ndio chanzo cha vita nchini Rwanda,
Kwa kifupi mnayoongea hakuna mtu anapenda. Tunajua mnajipendekeza kuwa chombo cha propaganda.
Na ndio tatizo la ushoga,redio imejaa mashoga,watangazaji wanaliwa kama mboga,na mkizidi kunikata nitawataja bila uoga.
Ninapokuwa na kitu moyoni huwa sifichi,Ruge bonge la snitch, anaanzisha chama wakati yeye ndio chanzo cha muziki wetu kukwama,bila wezi kama yeye tusingehitaji hata chama.

I LIKE SUGU.
 
mbona nasikia huyo bwana sio riziki?? ni kweli jamani????[/QUOaaaaah ni msosi toka kitambo hvo watu wanajipakulia tu....................hana maaana anajipendekeza sana kwa wakulu wa nchi,pambaaaf sake watakuja kumchana
 
Back
Top Bottom