:behindsofa:Rais Jakaya Mrisho Kikwete amejenga desturi ya kuwatisha Watanzania kuwa kila anayezungumza kuhusu mazuri kwa wananchi,awe mwanasiasa,kiongozi wa kidini au mbobezi wa jambo fulani, anahatarisha amani ya Tanzania,anajenga udini,uzawa na nini sijui.Rais ameshauriwa vibaya kuwa akisema hivyo ataonewa huruma na wananchi au wananchi watashikwa na hofu ya kutokea machafuko.Watu wanaonekana kutoelewa na kutotishika.Wamemchoka yeye na watu wake.Suala hapa si CHADEMA,NCCR,CUF wala CCK...suala ni kuwa JK anaboa,hawezi kuongoza tena,hajiwezi na upinde wake hauna mshale.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.