EPA Scandal: How the State trapped them

How sure are you that the money was returned?

Mkuu Jasusi,

Nilikuwa tomaso sana kuhusiana na kama pesa za EPA zimerudishwa,ukweli ni kwamba pesa zimerudi kama alivyosema JK hakuna hata chembe ya sanaa katika hili. Kwamfano Jeetu Patel na Njake (Japhet Lema) wamerudisha pesa na wameshangazwa sana na hatua ya serikali kuwaleta mahakamani tofauti na ahadi aliyoitoa Rais akilihutubia bunge.Na zaidi ya hapo serikali ilisaini nao MoU iliyokuwa inawapa amnesty kama wangerudisha pesa.

Thumb up for JK on this one!!! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
kuna magoli ya aina nyingi, kuna magoli halali, kuna magoli ya kuotoea, kuna magoli ya kisigino na hata ya "Mkono wa Mungu". Na yapo magoli yanayotokana na kona na yale yanayotokana na penati. Na pia yapo yale ya kujifunga mwenyewe. Uzuri au ubaya ni kuwa goli haliwi goli hadi refa aelekeze "mpira kati".

Hivyo aidha tushafungwa goli/magoli na sasa tusubiri kama yanahesabika au la..
 
Kagoda nao watafikishwa kwenye mikono ya sheria? nani atakayepandishwa kizimbani katika hiyo RA au YM wetu wa yanga? Maana nimepata habari kama Kagoda ni miongoni mwa kampuni iliyorudisha pesa! na zaidi habari zinadai YM amesema kama kuna lolote basi wakubanwa ni RA! sasa sijui watatosana wenyewe kwa wenyewe?

Iman Mwakosya ni mmojawapo wa watu BOT waliofikishwa mahakamani,alikutwa ijumaa asubuhi bar akiwa amelewa chakari na kuletwa moja kwa moja mahakamani.Huyu ameapa kwamba bila kumuona RA akiunganishwa katika hii kesi mahabusu hakutakalika.Mwakosya anatakiwa alindwe sana huko aliko ninapata wasiwasi mkubwa!
 
Hebu tuwape nafasi mahakama wafanye kazi yao, unajua sometimes ujuzi mwingi huondoa maarifa, hivi tunataka hasa nini kwamba hawa watuhumiwa wafunwge tu bila kupewa haki zao za kujitetea kisheria ndio tutaamini kuwa Muungwana yuko serious?

Watuhumiwa wako kwenye mkono wetu wa sheria, sasa tuwape wahusika wetu wa sheria nafasi wafanye kazi yao. Kwa hili la watuhumiwa wa EPA kufikishwa mahakamani ninamuunga mkono Rais kwa 100%, sasa ni kusubiri matokeo tu!

Tutaona, kama ni incompetence ya wafanyakazi wetu huko sheria itaonekana, kama kuna anything kesi kweli tutaona wazi, tunasubiri kwa hamu kuona mwisho wa hii ishu, lakini in the meantime ni vyema kuwapa nafasi wahusika.
 
Mkuu FMES
Kumbuka kuwa kikatiba Rais wa Tanzania ni top executive, top judge na top legislator. Ndio maana macho ya wengi yako kwenye move za rais. Kuwafikisha watu mahakamani ni moja, na sheria kufuata mkondo wake ni suala lingine. I hope unakumbuka jinsi issue ya Marehemu Ditto ilivyofanywa. Alifikishwa mahakamani lakini usanii ulifanyika, sijui this time around ni janja hiyohiyo inachezwa au ni kweli mkondo wa sheria utafuatwa. So far naona dalili ni njema, kama mkuu amedhamiria i hope linawezekana.
 
Mkuu Jasusi,

Nilikuwa tomaso sana kuhusiana na kama pesa za EPA zimerudishwa,ukweli ni kwamba pesa zimerudi kama alivyosema JK hakuna hata chembe ya sanaa katika hili. Kwamfano Jeetu Patel na Njake (Japhet Lema) wamerudisha pesa na wameshangazwa sana na hatua ya serikali kuwaleta mahakamani tofauti na ahadi aliyoitoa Rais akilihutubia bunge.Na zaidi ya hapo serikali ilisaini nao MoU iliyokuwa inawapa amnesty kama wangerudisha pesa.

Thumb up for JK on this one!!! mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Tunataka ushahidi wa kuthibitisha kwamba pesa zimerudi na siyo maneno matupu. Pesa hizo ni za walipa kodi wa Tanzania na si za Kikwete au CCM hivyo wana haki ya kupewa uthibitisho wa kutosha kuhusu kurudishwa kwa pesa hizo hasa ukitilia maanani kwamba JK, Mkullo na CCM walikuwa wanatangaza amount tofauti za 53 billioni, 55 billion na 60 billion.
 
Will Kagoda tycoons elude prosecution?

THIS DAY

FOLLOWING last week's dramatic events during which a total of 17 suspects were arraigned in court in connection with the external payment arrears (EPA) account scandal at the Bank of Tanzania, the biggest prize of all -- Kagoda Agriculture Limited -- appears to elude prosecutors thus far.

Kagoda, which is considered the jewel in the crown of EPA cases, alone received illegal payments of over $30.8m (approx. 40bn/-) from the BoT, equivalent to almost half of the more than 90bn/- stolen from the key central bank account during 2005/06 through the use of forged documents.

Although the names of two virtually unknown individuals - John Kyomuhendo and Francis William � are listed as directors in the company's official documents, investigators have since linked the stolen funds to two prominent businessmen.

It is understood that Kyomuhendo and William were not the real owners of Kagoda, but were merely used as pawns to formalise legal requirements for the registration of the company and camouflage the actual beneficiaries.

Sources close to the EPA investigation led by Attorney General Johnson Mwanyika said aides to one of the business tycoons linked to the Kagoda funds had scrambled to return all the stolen funds before the October 31 deadline.

The aides were seen carrying suitcases full of cash to a local bank in Dar es Salaam as they rushed to surrender the money to the government in an attempt by the two businessmen to avoid criminal charges.

Last week, another well-known businessman linked to the EPA scandal, Jeetu Patel, was arraigned before the Kisutu Resident Magistrate's Court in the city to face multiple counts of conspiracy, fraud and theft charges despite returning tens of billions of shillings to the government.

Sources say Jeetu Patel had so far surrendered more than 35bn/- to the government in an attempt to avoid legal action, but surprisingly ended up landing in court.

Observers revealed that prosecutors could this week likely arraign more suspects in court, notably the powerful business tycoons behind Kagoda and a prominent lawyer.

The mysterious Kagoda Agriculture Ltd company was paid a total sum of $30,732,658.82 by BoT using 12 forged legal documents known as deeds of assignment it had purportedly signed with foreign creditors of the government.

All the 12 forged deeds of assignment used by the Kagoda company were signed between September 10 and November 5, 2005. However, the company itself (Kagoda Agriculture Limited), was officially registered by the Business Registration and Licensing Authority (BRELA) on September 29, 2005.

This means that Kagoda signed some of the deeds of assignment with the government's foreign creditors even before the company was actually officially registered.

All the forged documents were signed in Dar es Salaam before the same individual, B.M Sanze, an advocate & notary public & commissioner of oaths.

Fraudulent payments to Kagoda had triggered off alarm bells, prompting the BoT's former auditor, Delloite & Touche to start making serious queries.

Following the queries, the former BoT Governor, the late Dr Daudi Ballali, fired the auditors, causing somewhat of a controversy.

The government was then forced to appoint an independent audit firm, Ernst & Young, to investigate the EPA account allegations, which uncovered that more than 133bn/- was stolen from the key BoT account during 2005/06, out of which more than 90bn/- was paid out through the use of forged documents.

The Mwanyika team is currently investigating payments amounting to more than 42bn/- made from the same BoT account without the necessary supporting documents.

So far, 13 alleged beneficiaries of the EPA funds and four BoT employees have been arraigned in court over the EPA scandal.
 
You really believe that all the thief have been trapped. Tanzanians are wonderfull people Good bless Tanzania.
 
I am not sure that the money was returned. it probably was, the unaccounted amount of course is in the form of acquired assets and money used for the 2005 general campaing. EPA could have been worse, its not that bad sema tuu the thing was not to allow the setting of a dangerous precedent (that people can take part in theft and money laundering and then get away with it). The reason that money was even stolen was the notion of ' hela ambazo hazina mwenyewe' ndio maana these people thought that haitokuwa tatizo kuziiba coz no one wud blast the scandal. JK hana cha ujeshi chochote, he knew what was going on and he probably took a big loot of the same cash maana hela zisizo na mwenyewe.. makampuni gani sijui huko india and Japan ndio wanaozidai...lol it was too easy aisee..

CCM benefited from it, politicians and businessmen. but the punishment seems to be going to only one category. Hawa watu walikuwa misled into thinking that since politicians, usalama, CCM kama chama benefited too basi isingewezekana for them to be dragged into court.. kwamba the issue ingezimwa tuu.

JK anafanya damage control, and here there is nothing to be proud of.. Jeetu Patel watu wanasema ni big fish... there is no such thing.. everyone is expendable after their use.. Wahindi wanafaida pale ambapo the politicians need their money. But all know that real power lies with the politicians in tanzania... Marekani the money men own the politicians.. In BOngo the politicians lease the services of the moneymen and wen its not convenient no more... wanakua disposed...

The interesting thing in all of this is how hawa so called mafisadi sijui get given the sense of being above the law... only to be disillusioned kwakupelekwa segerea kama hamisi alieiba redio na TV.

Serikali haina hasara kumpoteza Johnson, sijui Jeetu, tena they take pride kwasababu wanaonekana wako serious.. Watu wanasemaga Lowassa anaroho mbaya sijui nini...lol

If people really knew the Real Kikwete... wangekimbia... he's not the kind of person wakujisogeza kwake trying to know him sijui kwakaribu... Albeit he gives the exact opposite impression with his jokish persona and endless smile.. jamaa mnyama. machiovellian mind.
 
Back
Top Bottom