EPA Mhh,meremeta,tangogold,deepgreen!!wako wapi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,136
mhh kama hadithi vile !!!epa,,nawaona jeetu patoli ,mama komu.he yule jamaa wa atc zamani manase he mkewe nae jamani!!!kweli mwizi ni mwizi tu huyu jamaa walimkimbiza south africa aliiba vibaya sana airtanzania kipindi kile alikuwa akichukua malipo ya tiketi za atc na kuweka kwenye acc yake siku wakiitaji analipa ,,mmmh na mkewe.!!!mbona hawa ni vipanya tu wakina davies na geofrey mosha ,labda kidogo wakina lema kweli utajiri uliwajia fasta fasta,,

any way by the way lengolangu wale wahusika wa kampuni za

MEREMETA NA TANGOGOLD NA DEEPGREEN YAKINA MASHA WAKO WAPI???


jakaya tunaomba usijiaibishe kwa hili kila mtu abebe msalaba wake mkuu

usiwalinde maswahiba wako ,hata hiyo kumtoa kafaara wakina jeetu ni maombi ya watanzania ,,omba mungu sana ukimficha mtu utajimaliza mweneywe=,

mungu ibariki tanzania
 
Wanataka tuamini masuala ya wizi huu yanahusiana na 'usalama wa Taifa' hivyo Watanzania hatuna haki ya kuyajadili, kuuliza maswali kuhusiana na wizi huu mkubwa uliofanywa kupitia makampuni haya ambayo unawahusisha viongozi wa juu ndani ya chama na sirikali.
 
Mkuu bubu kwa hili lazima tuseme tu hata kama hawataki
natamani kuona ushaidi utakavyoanza nilikuwa na baadhi ya watu leo
wanasema kesi ikianza wanahisi jk anaeza juta kwa kuwapeleka hawaa viumbe
lisemwlo lipo na kama alipo linakuja tu!!!!tusubiri
 
Mkuu bubu kwa hili lazima tuseme tu hata kama hawataki
natamani kuona ushaidi utakavyoanza nilikuwa na baadhi ya watu leo
wanasema kesi ikianza wanahisi jk anaeza juta kwa kuwapeleka hawaa viumbe
lisemwlo lipo na kama alipo linakuja tu!!!!tusubiri

.......bado wanaendelea KUJIGAMBA eehhh!!........haya....yetu macho.......popcorn please......
 
Mkuu ogah na glass wanagonganisha ndio maana wengine utawaona wakitoka kwa mdhamana easy like dat!!!kwa pesa kibao jiulize how??
Tumwachie julius kikwet ooh no
jakaya kikwete
 
Back
Top Bottom