Enziiii za Mwalimu

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
266
Lazima ujifunze:

1. Sayansi Kimu
2. siasa
3. Sanaa
4.jiografia
5.hesabu
6.sayansi kilimo
7.sayansi
8.kiswahili

Wakati wa mapumziko lazima ucheze,

1. Mpira (Chandimu, one touchi, mputo)
2. Netboli na rede
3. Mdako
4. Bong'oa
5. Kula m'bakishie baba
6. Kubanjua Gololi
7.mnataniana kwa kutomoana
8.mnasimuliana movie za kihindi kina amithah bachan,mithun,chuck noris,amjed khan.
9.kucheza kiboleni

Msosi wakati wa mapumziko.

1. Mihogo ya kukaanga na chachandu
2. Aishiklimu
3. Barafu
4. Kashata
5. Bagia (za walimu)
6.vibama
7.gubiti
8.ubuyu wa rangi
9.ukwaju
10.visheti

nguo
1.unavaa kaptula 2 kuzuia maumivu ya viboko
2.unaweka daftari au gazeti ndani ya kaptura basi tigo ikionekana kubwa mwalimu anakuambia vua
 
tukienda kwenye soka hatukusahau kushangilia kuwa Joshua! joshua! joshua! namna huyo! ukitoka nione!. mtu akimkata mtama unamjibu wewe, wewe usiniumizie!
mkuu nashukuru kwa kutukumbusha ya enzi zile!
 
hahaaaaaaaaaaaaaaa mtu akisikia usiniumizie hapo ndo game mtashinda tu maana atapiga bao3 mwenyewe enzi zile umitashumta na umiseta ilikua poa sana kina lunyamila walitokea huko
tukienda kwenye soka hatukusahau kushangilia kuwa Joshua! joshua! joshua! namna huyo! ukitoka nione!. mtu akimkata mtama unamjibu wewe, wewe usiniumizie!
mkuu nashukuru kwa kutukumbusha ya enzi zile!
 
Mwakumbuka Gurubiti za kijiti cha chelewa, Mabumunda je?? Good Good je? mwakumbuka tulikuwa twala mapera kwa wingi sana??

Nakumbuka hizo enzi nasoma Lake Primary School - Isamilo na Nyanza Primary pia nilisoma jamani kaaaaa sijui kama mwalimu Tumbo yupo mpaka leo
 
  • Thanks
Reactions: ram
Kwenye mpira tena huwa uliotengenezwa kwa makaratasi kule kwetu tunaita" kinyengo" kuna mchezo unaitwa gombania goli, usisaha kifimbo cheza usipoweka kijiti kwenye nywele unakula bakora kwa kwenda mbele, siku ya kufunga shule unamtandika mwenzio konzi au ngumi ya nguvu then unamwambia "mwisho mwisho" wale waliokuwa LY wavulana ndio mambo ya kuweka matuta kwenye nywele anachomekea shati kwa nyuma na mbele analiacha bila kuchomekea. Kikubwa zaidi ninachokumbuka enzi hizo alikuja bwana mmoja kwa ajili ya kuonyesha mazingaombwe pale shuleni kwetu nakumbuka alichukua shati langu lilikuwa limechoka choka akalichana vipande vipande akaweka ndani ya mfuko wa karatasi akafanya mambo yake likatoka shati jipya kabisa niliporudi nyumbani baba akauliza kwa mshangao shati hili umepata wapi? Nikamwambia ni mtu wa mazingaombwe hakuamini akasema twende tukamuone mguu mpaka kwa mwalimu mkuu ikabidi atoe maelezo!!!! Enzi za mwalimu zilikuwa amani tupu maji ya kunywa unakwenda bombani tu unakinga mdomo huna wasiwasi, wakati huoo nadhani hata msamiati wa matumzi ya condom ulikuwa sio maarufu kama sasa!!
 
thread yako imeongelea mambo ya maana kuzidi hata hotuba ya mheshimiwa

na bila kuona Sinema ya Yomba Yomba, hujiungi kwenye kijiji cha ujamaa na huhesabiki kuwa mkulima. The real kilimo kwanza.
 
Nilikuwa sizipendi siku za Jumatatu na Alhamis kwani zilikuwa ni siku za ukaguzi(wa usafi).

Na siku za kawaida baadhi ya walimu wanoka wakiamua kufanya ukaguzi kwa asiyekuwa na fagia na dumu la kumwagilia maji, cha moto mtakiona.
Aisee na kuwahi namba pia ilikuwa inanikera mno.
 
Mwakumbuka Gurubiti za kijiti cha chelewa, Mabumunda je?? Good Good je? mwakumbuka tulikuwa twala mapera kwa wingi sana??

Nakumbuka hizo enzi nasoma Lake Primary School - Isamilo na Nyanza Primary pia nilisoma jamani kaaaaa sijui kama mwalimu Tumbo yupo mpaka leo

Duh best we wa mtaani kwetu kbs, maendeleo street kwenye kona pale km unaenda nyanshana jeshini!
 
mkuu senksi kwa thread taaamu zangu ilikuwa wakati wa mapumziko tunapiga one touch au gombania goli. mpira wake tuliokuwa tunautumia tukiuita pumbu soksi yaani unatengenezwa kwa soki. unajaza makaratasi kwenye soksi unaifunga soksi kwa kamba si mchezo. na kule kwetu songea kuna ule mpira unaitwa MUHOGO MPIRA yaaani unatengenezwa kwa ute wa muhogo ni km GOZI lenyewe lkn unkua mlaini kidogo
 
wewe umesoma songea mfaranyaki,lizaboni au bomba mbili pia kuna shule moja maarufu pale inaitwa misufini!!hiyo one touch nimecheza sana primary pale iringa jamani utoto we acha tu yaani life ilikua simple sana kulikuwa na umiseta na umitashumta!

kaka nimesoma MAHENGE primary school pale jirani na TTC matogoro aah kaka imanikumbusha mbali sana hasa embe maji na embe bolibo halafu nilihamia pale std three nikitokea JANGWANI pr school SUMBAWANGA nikakutana na washkaji wamepinda kinoma walikuwa watoro wa shule vibaya mno wengine wakikaa sehemu inaitwa KWA KUCHILE nyuma ya kambi ya jeshi ya CHANDAMALI hawa walikuwa wataala mno wa kusepa so walikuwa km ishirini hivi wakiitwa KUCHILE LIST mara nyingi walikuwa wakija shule km kuna graduation au mechi kati ya shule na shule. HAWA JAMAA siku moja mchana wakaniambia twende tukale ndizi kwenye shamba la bibi mie na njaa yangu nikasepa nao kumbe lile shamba ni la chuo cha ualimu MATOGORO bwana weeee tukaingia swaafi nikakuta jamaa walishavundika ndizi long time so walikuwa wazoefu kule. tukatafuna km mkungu na nusu hivi mara mlinzi huyooooo tjatoka baluuu hao shuleeee kumbe yule mlinzi anatu track akaja shuleni kumbe alitushika vizuri tulivyo eeeh bana eeh zoezi la utambulisho lilipopita jamaa alitambua wanne kati ya sita tukabaki wawili tu wale waliotambuliwa ndo wakaaribu kabsaaaa wakatutaja na sisi duuuh tukala fimbo za kufa mtuu mbaya zaidi mza na yeye alikuwa mwalimu akifundisha shule nyingine taarifa zikamfikia dingi akapewa jukumu nikikula fimbo tenaaa home dah yaani toka siku hiyo nikabadilisha na marafiki hahaa
 
jangwani primary school, s،wanga!.
 
hahaaaaaaa mashamba ya matogoro nayajua sababu nimesoma pale na tumelinda sana yale mashamba dah umenikumbusha mbali kambi ya jeshi chandamali yaani mimi songea sio home ila nimesoma ttc pale na nimeishi sana kule na kucheza mipira vijijini na pale town kuna timu ilikua inaitwa Bogota unaikumbuka?
kaka nimesoma MAHENGE primary school pale jirani na TTC matogoro aah kaka imanikumbusha mbali sana hasa embe maji na embe bolibo halafu nilihamia pale std three nikitokea JANGWANI pr school SUMBAWANGA nikakutana na washkaji wamepinda kinoma walikuwa watoro wa shule vibaya mno wengine wakikaa sehemu inaitwa KWA KUCHILE nyuma ya kambi ya jeshi ya CHANDAMALI hawa walikuwa wataala mno wa kusepa so walikuwa km ishirini hivi wakiitwa KUCHILE LIST mara nyingi walikuwa wakija shule km kuna graduation au mechi kati ya shule na shule. HAWA JAMAA siku moja mchana wakaniambia twende tukale ndizi kwenye shamba la bibi mie na njaa yangu nikasepa nao kumbe lile shamba ni la chuo cha ualimu MATOGORO bwana weeee tukaingia swaafi nikakuta jamaa walishavundika ndizi long time so walikuwa wazoefu kule. tukatafuna km mkungu na nusu hivi mara mlinzi huyooooo tjatoka baluuu hao shuleeee kumbe yule mlinzi anatu track akaja shuleni kumbe alitushika vizuri tulivyo eeeh bana eeh zoezi la utambulisho lilipopita jamaa alitambua wanne kati ya sita tukabaki wawili tu wale waliotambuliwa ndo wakaaribu kabsaaaa wakatutaja na sisi duuuh tukala fimbo za kufa mtuu mbaya zaidi mza na yeye alikuwa mwalimu akifundisha shule nyingine taarifa zikamfikia dingi akapewa jukumu nikikula fimbo tenaaa home dah yaani toka siku hiyo nikabadilisha na marafiki hahaa
 
Aaah ilikuwa zamani hiyo kweli mambo c yale tena...tuliosoma Chang'ombe Pr school nafikiri tunakumbuka tukiwa mstarini wale wenye kesi ya uhaini ndo walikuwa wanapitishwa pale asubuhi kuelekea mahakamani....
uwanja wa Taifa kuruka ukuta....
 
siku nyingine kunakua na fungulia mbwa wakati zimebaki kama dakika 5 hv mpira kwisha kwenye ligi kuu
Aaah ilikuwa zamani hiyo kweli mambo c yale tena...tuliosoma Chang'ombe Pr school nafikiri tunakumbuka tukiwa mstarini wale wenye kesi ya uhaini ndo walikuwa wanapitishwa pale asubuhi kuelekea mahakamani....
uwanja wa Taifa kuruka ukuta....
 
Lazima ujifunze:

1. Sayansi Kimu
2. siasa
3. Sanaa
4.jiografia
5.hesabu
6.sayansi kilimo
7.sayansi
8.kiswahili

Wakati wa mapumziko lazima ucheze,

1. Mpira (Chandimu, one touchi, mputo)
2. Netboli na rede
3. Mdako
4. Bong'oa
5. Kula m'bakishie baba
6. Kubanjua Gololi
7.mnataniana kwa kutomoana
8.mnasimuliana movie za kihindi kina amithah bachan,mithun,chuck noris,amjed khan.
9.kucheza kiboleni

Msosi wakati wa mapumziko.

1. Mihogo ya kukaanga na chachandu
2. Aishiklimu
3. Barafu
4. Kashata
5. Bagia (za walimu)
6.vibama
7.gubiti
8.ubuyu wa rangi
9.ukwaju
10.visheti

nguo
1.unavaa kaptula 2 kuzuia maumivu ya viboko
2.unaweka daftari au gazeti ndani ya kaptura basi tigo ikionekana kubwa mwalimu anakuambia vua

Umesahau BULGA
 
hahaaaaaaa mashamba ya matogoro nayajua sababu nimesoma pale na tumelinda sana yale mashamba dah umenikumbusha mbali kambi ya jeshi chandamali yaani mimi songea sio home ila nimesoma ttc pale na nimeishi sana kule na kucheza mipira vijijini na pale town kuna timu ilikua inaitwa bogota unaikumbuka?

tutamkumbuka sn mwalimu kwani alikuwa na akili nying na ali2uunganisha watz kupitia shule sio huyu kijeba kikwete anayewagawa watz kwa ari zaid nguv zaid na kasi zaid kupitia dini na shule za kata
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom