Enzi zetu za utoto..........

Wengi wetu humu wakati tukiwa watoto tumekuwa katika mfumo tofauti kabisa wa maisha tofauti na yalivyo sasa kwa mfano mi nikiwa mtoto karibu kila sikukuu tulikuwa lazima tule pilau haijalishi ni xmas au eid na ikiwezekana na nguo mpya. Cine Clubndio yalikuwa maeneo yetu ya kutembelea na mashindano ya kudance nyimbo kama OPP, Ice Ice baby, Nzawisa na kadhalika

Dah Kombolela na kidali po........

Nini unakikumbuka enzi zako za utoto ambacho kwa watoto wa sasa hakipo?

hiiyo ya blue hapo unamalizia na ''EEYOOOOOOOOO''.....KUDADEKI ZAKE BOZI BOZIANA!!hapo lazima nivute pesa yangu ya maana kwenyer shoo ya harusi au kipaimara.

hiyo red hapo...wapi Mwantumu na Watende tal..yani kujificha lazima nijifiche na wao tu vinginevyo sichezi!!afu kwa kila njia,ikibidi hata ngumi,mi sizingi,mi kujificha tu!hivi siku zimekimbia eeh??!!
 
Hahahahaaa halafu kuna ile ya kibaba baba kama mi sio baba basi sichezi.........
 
kitambo hicho ukitoroka xkul home wakikuuliza vp unadai wanyonya damu wamekuja!!!!!
vp wana jf mnakumbuka arubastini..........hv bado inachezwa tena.......
 
Inachezwa sana tu, halafu kwenye shule nyingi ulikuwa ukienda unakuta madirisha yamebomoka watu walipita nayo wakati wa chanjo ya ndui wakiitwa wanyonya damu
 
..Nakumbuka jinsi marehemu kaka yangu alivyokuwa fundi wa kutengeneza magari ya mabox. huwezi amini kuna siku tulikuwa kwa mshkaji wetu, dingi yake alikuwa mkuu wa mkoa kwa PINDA huko miaka hiyooo, tukaiba pertrol kwenye peugeot 405 tukaweka kwenye chupa ndogo km za maji ya uhai halafu tunanusa ile petrol tunapata stimu tunalewa.
Kuna siku tukiwa stimu zimepanda balaa, bro wangu akanituma niende home nikachukue chandimu basi mie namwambia NIKO KARATASI, anachukia ananikimbiza mie nimekazania tu NIKO karatasi hahahahaha utoto bana raha sana
 
duh!! nakumbuka kaloleni primary a.k.a "ololoo" yaani kulikuwa hakuna dirisha wala nini then ukisikia makelele tu haijalishi ni mbwa anafukuzwa au nn bti mwendo wa kuokoa nafsi.......!!! duh kweli old is odds if nt gold mpaka bulicheka nimemkumbuka!!!!
 
Dah usinambie bado unavuta hiyo kitu asee
 
duh!! nakumbuka kaloleni primary a.k.a "ololoo" yaani kulikuwa hakuna dirisha wala nini then ukisikia makelele tu haijalishi ni mbwa anafukuzwa au nn bti mwendo wa kuokoa nafsi.......!!! duh kweli old is odds if nt gold mpaka bulicheka nimemkumbuka!!!!
Dah basi enzi hizo za Tambaza siku hizo walianzisha varangati wakawa wanapita kila shule ya msingi wanatembeza mkong'oto. Dah tulitimka siku hiyo balaa
 
Inachezwa sana tu, halafu kwenye shule nyingi ulikuwa ukienda unakuta madirisha yamebomoka watu walipita nayo wakati wa chanjo ya ndui wakiitwa wanyonya damu

duh! Nakumbuka tukiwa std 2 tuliumia vibaya kwa kugombania kupita dirishani kisa kukimbia wanyonya damu...
Sitakaa nisahau maana kesho walikuja wazazi wetu utadhani waliitwa kikaoni,nakumbuka mmoja alisema mwanangu nimemleta shule sio hospitali ikitokea chanjo yoyote mwanae asiguswe.
Wengi hatukuchomwa hizo sindano.
 
Hahahahaa sisi bhana hazikuwahi kupita ila tulikuta imeisha kama miaka kadhaa michache tu
 
Back
Top Bottom